Uchaguzi 2020 Kauli Mbiu ya CHADEMA: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu

Uchaguzi 2020 Kauli Mbiu ya CHADEMA: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu

Mtoa mada ameeleza vema. Ila ongeza na haya:
1. Katiba mpya itakayotokana na rasimu ya Warioba
2. Decentralization ambayo itaruhusu kuwe na mashindano kati ya wilaya na wilaya, mkoa na mkoa lakini walio na raslimali chache wakisaidiwa
3. Kiboresha Marsha ya wafanyakazi wa afya na waalimu
 
Back
Top Bottom