Kauli mbiu ya Mandonga pambano lijalo mwezi wa 9

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Mandonga amekuja na kauli mbiu kwa game inayokuja mwezi ujao.

Sea never dry ,man don't cry.
Ameelezea zaidi atakayekutana naye "atapigwa kama ngoma refa akizembea kidogo tu anakuta mtu amekufa.

Ameongezea kuhusu Kaoneka kulalamika hapati promo, amesema Kaoneka kalaani hela mi sijalaani, nitamtumia kwenye simu ila anapoziokota lazima ale konzi.
 
Nacheka hayo maneno kwamba'nitampiga kama ngoma'...kama kwel vile ila ulingon round zake nne zinamtosha kabxa mwamuz kumaliza pambano
 
Mandonga mtu kazi piga pesa ndo wakati wako huu. Hii strategy ya kuongea sana hata Muhammad Ali aliitumia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…