Kauli mbiu ya Simba "Yes We Can" katika pambano la jumamosi kati yao na Saoura ya Algeria

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Nimeona Kauli mbiu ya Simba watakayotumia siku ya Jumamosi kwenye pambano lao na Saoura ya Algeria. Kwa ushauri wangu Kauli mbiu hii ingekuwa kwa kiswahili maana wengi wetu hatujui kiingereza. Nashauri ingeandikwa hivi "KATIKA UMOJA WETU USHINDI NI LAZIMA".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…