Nimeona Kauli mbiu ya Simba watakayotumia siku ya Jumamosi kwenye pambano lao na Saoura ya Algeria. Kwa ushauri wangu Kauli mbiu hii ingekuwa kwa kiswahili maana wengi wetu hatujui kiingereza. Nashauri ingeandikwa hivi "KATIKA UMOJA WETU USHINDI NI LAZIMA".