PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
"Tunaenda kupindua meza Sudan halafu tar 23 tunawarudia nyie."
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Tunaenda kupindua meza Sudan alaf tar 23 tunawarudia nyie"
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Jakaya Kikwete na Sunday Manara ndio pekee waliojaliwa kuwa na akili....Utopolo hayana akili
Yanga anashinda kwa kishibdo leo.timu ngumu kwetu ilikuwa mtibwa naye kala tatu bila.Al Ahlyhawana muunganiko kukaa pamoja tangu wasajili wachezaji.Yanga ya Nabi ni Esparence ya Tunisia. Njoo kesho ucheke mwana yanga !napinga nyumba yangu wewe nipe ndizi,Yanga anashinda leo
Mawazo gani haya? Mtafute mzungu basi umpe familia yako kwanza.🙏🙏🙏
Rage aliwatunuku akili za kuvukia barabara, mnadhindwa kuiongelea timu yenu trip shamba trip gereji mnabaki kuiongelea timu iliyokamilika kila idara? Timu unbeaten mechi 42, aliyewaroga alishaga kufa sio bure,"Tunaenda kupindua meza Sudan halafu tar 23 tunawarudia nyie"
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
We jamaa ni Nabii. Hatimaye kashinda 1-1.Yanga anashinda leo. Lakini atatolewa kule sudani
Al Hilal hawana muunganiko kabisa.Yanga anashinda kwa kishibdo leo.timu ngumu kwetu ilikuwa mtibwa naye kala tatu bila.Al Ahlyhawana muunganiko kukaa pamoja tangu wasajili wachezaji.Yanga ya Nabi ni Esparence ya Tunisia. Njoo kesho ucheke mwana yanga !napinga nyumba yangu wewe nipe ndizi,Yanga anashinda leo