PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
- Thread starter
- #21
Kweli kabisa, ndo kwanza wanajitafuta, kocha mpya wachezaji wapya....Sisi timu yetu ina quality players, huku una bangala, hapa fei toto, hapa aucho, kule aziz k, pale morison, bado mayele, djuma shaban, kibwana wewe...hata aje barcelona anakaaAl Hilal hawana muunganiko kabisa.
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app