Kauli mbiu ya wana Yanga baada ya Mechi ya leo na Al hilal

Kauli mbiu ya wana Yanga baada ya Mechi ya leo na Al hilal

Al Hilal hawana muunganiko kabisa.
Kweli kabisa, ndo kwanza wanajitafuta, kocha mpya wachezaji wapya....Sisi timu yetu ina quality players, huku una bangala, hapa fei toto, hapa aucho, kule aziz k, pale morison, bado mayele, djuma shaban, kibwana wewe...hata aje barcelona anakaa

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂
 
Slogan ya mechi ijayo iwe "LIWALO NA LIWE" maana tushacheza singeli kweny beat ya Celine Dion
 
Yanga backline yao sio nzuri wasipofanya marekebisho basi wanaenda Sudan kutimiza mradi tu na hata kipa Diarra sio mzuri kihivyo anakuwa nervous goli lao linaposhambuliwa.

Pia Mayele inatakiwa atulie akiwa mbele ya goli kwani anakosa nafasi nyingi mno. Kocha Nabi ajaribu kutumia mfumo wa 4-4-2 angalau awe na mshambuliaji mwingine wa kumpa back up Mayele na kwenye mechi ya marudiano waepuke sana kupaki basi, wakijaribu kupaki basi watapigwa mabao yasiyopungua matatu.
 
Rage aliwatunuku akili za kuvukia barabara, mnadhindwa kuiongelea timu yenu trip shamba trip gereji mnabaki kuiongelea timu iliyokamilika kila idara? Timu unbeaten mechi 42, aliyewaroga alishaga kufa sio bure,
Akili zingine, "Unbeaten" ndo inafanya muogope mechi za kimataifa za kirafiki, hivi wakitolewa, unbeaten itakuwa na msaada gani?

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Yanga anashinda kwa kishibdo leo.timu ngumu kwetu ilikuwa mtibwa naye kala tatu bila.Al Ahlyhawana muunganiko kukaa pamoja tangu wasajili wachezaji.Yanga ya Nabi ni Esparence ya Tunisia. Njoo kesho ucheke mwana yanga !napinga nyumba yangu wewe nipe ndizi,Yanga anashinda leo
Aragija FC
 
Kweli kabisa, ndo kwanza wanajitafuta, kocha mpya wachezaji wapya....Sisi timu yetu ina quality players, huku una bangala, hapa fei toto, hapa aucho, kule aziz k, pale morison, bado mayele, djuma shaban, kibwana wewe...hata aje barcelona anakaa

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Kwa msaada wa refa ARAGIJA UEFA MNABEBA
 
Back
Top Bottom