Kauli mbiu ya wana Yanga baada ya Mechi ya leo na Al hilal

Yanga anashinda kwa kishibdo leo.timu ngumu kwetu ilikuwa mtibwa naye kala tatu bila.Al Ahlyhawana muunganiko kukaa pamoja tangu wasajili wachezaji.Yanga ya Nabi ni Esparence ya Tunisia. Njoo kesho ucheke mwana yanga !napinga nyumba yangu wewe nipe ndizi,Yanga anashinda leo
 
Leo kushinda mtashinda ila kushinda na NJAA
 
SEMA INAUMA SANA MTU ANAKUITA NYANI NA ANATAKA MMLIPE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
"Tunaenda kupindua meza Sudan halafu tar 23 tunawarudia nyie"

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Rage aliwatunuku akili za kuvukia barabara, mnadhindwa kuiongelea timu yenu trip shamba trip gereji mnabaki kuiongelea timu iliyokamilika kila idara? Timu unbeaten mechi 42, aliyewaroga alishaga kufa sio bure,
 
Fei anapiga mbili zlle za nje ya 18.
Nimekaa pale.
 
Yanga anashinda leo. Lakini atatolewa kule sudani
 
Akiruhusu goli hata moja tu, safari yake itakuwa ngumu sana.
 
Al Hilal hawana muunganiko kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…