Kauli mbiu ya yanga ifanyiwe mabadiliko

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
salaam wakuu,

Kauli mbiu yetu ya "DAIMA MBELE NYUMA MWIKO" ina maana nzuri bt inawapa mwanya watani wetu kututania utani mbaya unaotufedhehesha, hivo inapaswa kufanyiwa mabadiliko.

MAPENDEKEZO YANGU
-young africa #DAIMA MBELE KWA MBELE

-young africa #FURAHA YA WANACHI(the happiness of wananchi)

-young africa #FAHARI YA WANANCHI(the pride of wananchi.

SHARE MAONI YAKO.
 
Ni watu wenye mlengo wa ushoga pekee ndiyo wataichukulia hiyo kauli kwa mtazamo wao.

Bahati mbaya haikuanza leo. Hivyo sioni sababu ya kuibadilisha, kwa sababu tu ya wapuuzi wachache. Kwa sababu maana yake iko wazi kabisa.

Malengo ya Yanga ni kusonga mbele, na siyo kurudi nyuma.
 
Hapo zamani za kale naskia kule yanga ilikua ni nyuma na mbele basi buaaana ikapita maka tele hapo kati wazee wakasema imetosha sasa jamani iwe mbele tu na nyuma sasa ni mwiko!!

Ila kabwili utapata laana wewe! Unavunja miiko yenu mliyojiwekea wenyewe


Simba......Nguvu moja!
 
Iwe Yanga.. NGUVU MBILI..

hii ya Nyuma Mwiko.. Kweli ina ukakasi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…