Kauli mbiu ya yanga ifanyiwe mabadiliko

Kauli mbiu ya yanga ifanyiwe mabadiliko

salaam wakuu,

Kauli mbiu yetu ya "DAIMA MBELE NYUMA MWIKO" ina maana nzuri bt inawapa mwanya watani wetu kututania utani mbaya unaotufedhehesha, hivo inapaswa kufanyiwa mabadiliko.

MAPENDEKEZO YANGU
-young africa #DAIMA MBELE KWA MBELE

-young africa #FURAHA YA WANACHI(the happiness of wananchi)

-young africa #FAHARI YA WANANCHI(the pride of wananchi.

SHARE MAONI YAKO.
Ukiwa una waza ushoga kila kitu utakiona kishoga shoga,
 
Back
Top Bottom