PreGE2025 Kauli Mbiu za CCM Kuelekea Uchaguzi Zimedoda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Kalamu Nzito

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
376
Reaction score
850
Kuelekea uchaguzi, kila chama kimetengeneza kauli mbiu yake. CHADEMA wanatembea na NO REFORMS, NO ELECTION. Hawajabadili kauli mbiu yao tangu waitangaze kwa Umma.

Kwa upande mwingine, chama tawala -CCM, timu ya uenezi na itikadi mpaka sasa imebuni kauli mbiu zaidi ya kumi na bado zimekosa ushawishi. Tutazame hapa kauli mbiu za CCM kuelekea uchaguzi;
1: Mama Mitano Tena
2: Samia Mitano Tena
3: Samia Nakupa Tano
4: Oktoba Tunatiki (Mpya)
5: Samia Tuvushe
6: Samia Anatosha
7: Tunazima zote tunawasha kijani
8: Wajinga wakisusa, wajanja tunatiki (Mpya)
9: Kazi na utu, tunasonga mbele (motto ya chama)
10: Familia yangu na wazazi wangu wapo hapa nchini. Nitailinda nchi yangu (Mpya)

NA KADHALIKA!

Ni wazi kwamba timu ya itikadi na uenezi imeshindwa kuwa na msimamo wa kauli mbiu moja thabiti kuelekea uchaguzi. Kinachoendelea sasahivi ni uchafu tupu.
 
umesahau tone tone
 
We ni nyumbu huwezi kuelewa mambo ya watu wenye akili.
 
Gs_2Ma3WcAAXBXC.jpeg
 
Kuelekea uchaguzi, kila chama kimetengeneza kauli mbiu yake. CHADEMA wanatembea na NO REFORMS, NO ELECTION. Hawajabadili kauli mbiu yao tangu waitangaze kwa Umma.

Kwa upande mwingine, chama tawala -CCM, timu ya uenezi na itikadi mpaka sasa imebuni kauli mbiu zaidi ya kumi na bado zimekosa ushawishi. Tutazame hapa kauli mbiu za CCM kuelekea uchaguzi;
1: Mama Mitano Tena
2: Samia Mitano Tena
3: Samia Nakupa Tano
4: Oktoba Tunatiki (Mpya)
5: Samia Tuvushe
6: Samia Anatosha
7: Tunazima zote tunawasha kijani
8: Wajinga wakisusa, wajanja tunatiki (Mpya)
9: Kazi na utu, tunasonga mbele (motto ya chama)
10: Familia yangu na wazazi wangu wapo hapa nchini. Nitailinda nchi yangu (Mpya)

NA KADHALIKA!

Ni wazi kwamba timu ya itikadi na uenezi imeshindwa kuwa na msimamo wa kauli mbiu moja thabiti kuelekea uchaguzi. Kinachoendelea sasahivi niuchaf

View: https://vm.tiktok.com/ZMSDwBUyw/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
Kuelekea uchaguzi, kila chama kimetengeneza kauli mbiu yake. CHADEMA wanatembea na NO REFORMS, NO ELECTION. Hawajabadili kauli mbiu yao tangu waitangaze kwa Umma.

Kwa upande mwingine, chama tawala -CCM, timu ya uenezi na itikadi mpaka sasa imebuni kauli mbiu zaidi ya kumi na bado zimekosa ushawishi. Tutazame hapa kauli mbiu za CCM kuelekea uchaguzi;
1: Mama Mitano Tena
2: Samia Mitano Tena
3: Samia Nakupa Tano
4: Oktoba Tunatiki (Mpya)
5: Samia Tuvushe
6: Samia Anatosha
7: Tunazima zote tunawasha kijani
8: Wajinga wakisusa, wajanja tunatiki (Mpya)
9: Kazi na utu, tunasonga mbele (motto ya chama)
10: Familia yangu na wazazi wangu wapo hapa nchini. Nitailinda nchi yangu (Mpya)

NA KADHALIKA!

Ni wazi kwamba timu ya itikadi na uenezi imeshindwa kuwa na msimamo wa kauli mbiu moja thabiti kuelekea uchaguzi. Kinachoendelea sasahivi ni uchafu tupu.
Chawa wajiandae kuuza vinyeo mwaka huu maana mwisho wao u karibu
 
Washamaliza zoote za kuokoteza lakini wapi.
 
Back
Top Bottom