Kauli " Mwanamke Shetan"

Kauli " Mwanamke Shetan"

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Mara Nyingi sana huwa nasikia watu wakisema mwanamke Shetani, je hili swala likoje, na Kuna ushahidi wowote inaonyesha kua mwanamke ni Shetani, na Je Kuna Uhusiano Gani kati ya Mwanamke kupenda sana Pesa, kiasi Jamii Mzima Inaamini Mwanamke anapenda sana Pesa + Mali + Vitu.
Je ushetani wa mwanamke uko Wapi na kwenye Jambo ,Gani
Mpaka leo nimesikia hii kauli Eti mwanamke Shetani.
 
Back
Top Bottom