Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 479
- 727
Habari za wakati huu
By nature mimi ni mkimya sana,napenda sana kukaa mwenyewe na huwa nafeel comfortable sana, sipendi kuongea sana ila nikimatch na mtu ni mtu wa kucheka na kuongea sana..Napenda utani.
Kimuonekano niko very humbe,i mean sura yangu ni very innocent kiasi kwamba ni rahisi sana mtu kumweleza jambo na kuniamini haraka..
Post yangu ya mwisho nilieleza kuna mahali nilikuwa,walikuwa wakiniita mchungaji nilijitahidi kukataa mimi si mchungaji kwa kukufanya mambo ya ajabu(cruely)lakini walishikilia sana mwisho nikawa naitika tu japo sikuwa napenda kuitwa hivyo.
Kiuhalisia walikuwa wananiita hivyo sababu ya namna nilivyo na muonekano wa kipole+innocent face lakini hawakujua mimi ni mkorofi mbayaa pale mtu aki mess up kwenye njia zangu asee☠
Tuachane nayo hayo yote,leo nimechill gheto tangu asubuhi ila baadae nkaona siyo kweli acha nitoke niende sehemu fulani,nilipotoka niliwaza na kujiapiza mimi na sigara basi(hii kauli si ngeni kwa watumiaji wa sigara au kilevi chochote)lakini ile kutoka hatua kadhaa nikawaza hii safari bila sigara ni ndefu acha nichukue moja mpaka inaisha nitakuwa nishafika nusu safari,moja kwa moja nkaunga kwa mangi nikaomba moja shida ikawa chenchi ikabidi nichukue mbili(sport)250/=×2 nikachukua na bubylish kukata harufu.
Nikawasha safari na fegi mdogo mdogo ilipokata bahati mbaya nkatupa kile kipande kabla sijawasha nyingine,maduka yako mbali sabu nilipita chocho soln niliyopata nkupita kwa mama mmoja wa genge kuomba kuwasha,nkamsalimia nkaomba kuwasha fegi yangu..akashtuka kidogo then akaniambia "kijana **** hivi unavuta sigara,nkajifanya sijasikia nkamuuliza unasema?! Akarudia vile vile..
Nilicheka kiaina nkawasha nkamshukuru nkaondoka.
Ilibaki kwenye akili yangu sababu ni mtu wa 4 ananiambia maneno haya haya.
Nimebaki najiuliza mimi ni nani?? Anyway ni binadamu kama wengine,Je nafanania au sifananii na hiki ninachokifanya... mambo ni mengi nimetafakari mengine siwezi andika hapa
Je kwako ni kipi uliambiwa na mtu au watu kikakufanya ufikiri au utafakari mustakabali au mwenendo wako?
Mwisho.