247
Senior Member
- Mar 29, 2016
- 188
- 197
Jifunze kauli hizi tano toka kwa huyu mwekezaji maarufu duniani. Robert Kiyosaki ni mwekezaji, mwandishi wa vitabu, Mfanyabiashara na n.k. Ni mtu
mwenye hamasa kubwa na mfano wa kuigwa kutokana mafanikio yake katika uwekezaji na uandishi wa vitabu.
Hizi ni kauli tano toka kwa Robert Kiyosaki kuhusu Uwekezaji na Biashara
1. Watu ambao wamefanikiwa hawaogopi kushindwa ila wanafahamu kuwa lazima ukue kwa kujifunza. Na unajifunza kupitia kushindwa.
2. Watu ambao wanapoteza ni wale ambao wana hofu ya kupoteza. Kwa hiyo hofu ya kushindwa ni adui wa mafanikio yako na matumaini ya kufanikiwa yana mchango mkubwa katika Maisha.
3. Fanya kazi kwa kujifunza ukiwa Kijana na sio kufanya kazi ili uweze kupata pesa. Unapojifunza kipindi unapofanya kazi unapata maarifa ambayo utayatumia kutengeneza uhuru wa fedha.
4. Ikiwa unahitaji kuwa Tajiri ni lazima uwe na mawazo tofauti, kuwa na mawazo makubwa na kufikiri kwa kiwango kikubwa.
5. Ukishindwa inamaanisha kuwa umefanya jambo fulani. Na kama umefanya jambo fulani una nafasi kubwa ya kufanikiwa kutokana na kujifunza jambo hilo.