Kauli 'TATA' ya Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi ''Mimi ni mkristo Mkatoliki..., mtanizoea taratibu'

Na nadhani aliwekwa katika nafasi ile kufubaza maovu ya iliyemteua.

Atumie udini asitumie, sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kurubunika na hizi hadaa zao!

Kama unavyosema mkuu, kuliponya taifa kwa sasa kunahitaji busara isiyohojika na si usanii wa kugawa watu wanaoufanya sasa.
 
Hakika mkuu 💯
 
Unaemuona hapa ni rais mwanamke
 
Kulikuwa na haja gani ya kusema yeye mkristo mkatoliki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…