Kauli thabiti ya baba wa taifa

Kauli thabiti ya baba wa taifa

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
“Tunataka kuona katika taifa hili VIJANA jeuri na wenye KUJIAMINI; si
vijana WAOGA akina NDIYO BWANA.Tunataka vijana wenye ujasiri wa
kuhoji na kupiga vita mifumo ya kijamii isiyoshabihiana na matakwa na
matarajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo
kandamizi ya kutugawa na kuutenga umoja wetu,vijana wenye maadili
nidhamu na wasema kweli ata wakichukiwa”... .- (Mwl.Nyerere 1985)
 
Back
Top Bottom