papag
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 1,156
- 1,667
Tunataka kuona katika taifa hili VIJANA jeuri na wenye KUJIAMINI; si
vijana WAOGA akina NDIYO BWANA.Tunataka vijana wenye ujasiri wa
kuhoji na kupiga vita mifumo ya kijamii isiyoshabihiana na matakwa na
matarajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo
kandamizi ya kutugawa na kuutenga umoja wetu,vijana wenye maadili
nidhamu na wasema kweli ata wakichukiwa... .- (Mwl.Nyerere 1985)