kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Sio kwa raha hizi ulizonazo. Embu nimegee ubuyu, ushawahi kuunganisha kijojoleo na member yeyote wa JF?Hahaaaaa. Mpaka mtu anakubali kuonana na member mwenzie inaonyesha dhahiri amekubaliana na yote. Sasa hayo ya kuambiana usinifungulie uzi yanafuata nini nadhani ni kutokujiamini tu hapo.
Pia kuna watu ukionana nao yaani kwa jinsi mnavyokuwa mmeshibana hata hayo mawazo huwa hayapo kabisa zaidi ya kunywa na kufurahi kwa kufanikiwa kuonana.
Poleni wale wote msiochuja wa kuonana nao.
Hivi kwani kuonana kwa member wa jf mpaka wale wakuunganisha viko**leo. [emoji15] [emoji15] [emoji15]Sio kwa raha hizi ulizonazo. Embu nimegee ubuyu, ushawahi kuunganisha kijojoleo na member yeyote wa JF?
That is the main goal. Yan mfano nikutane na wewe mtoto Emmy alafu nakuona unalipa, kwa nini nisitangaze nia ya kuunganisha 'vyama' vya ASP na TANU?Hivi kwani kuonana kwa member wa jf mpaka wale wakuunganisha vikojoleo. [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Usjali. Ntakupa dada angu.Bado. Labda njoo ww tuunganishe
Wanyumbani unaweza kutana na mtu kiroho safi tu labda akakuta alivyokuona ni tofauti na alivyokua anajudhania. Ni vile unatakiwa kuangalia nani unakutana nae. Kuna watu uandishi wao tu unaweza kujua akili yake ya ajabu kiasi gani kwenye maisha ya kawaida.Hahaaaaa. Mpaka mtu anakubali kuonana na member mwenzie inaonyesha dhahiri amekubaliana na yote. Sasa hayo ya kuambiana usinifungulie uzi yanafuata nini nadhani ni kutokujiamini tu hapo.
Pia kuna watu ukionana nao yaani kwa jinsi mnavyokuwa mmeshibana hata hayo mawazo huwa hayapo kabisa zaidi ya kufurahi kwa kufanikiwa kuonana.
Poleni msiochuja wa kuonana nao.
Ujue huyo ni Mwanaume mwenzakoBado. Labda njoo ww tuunganishe
Mimi ukinipm tu nakufungulia uzi.Wanyumbani unaweza kutana na mtu kiroho safi tu labda akakuta alivyokuona ni tofauti na alivyokua anajudhania. Ni vile unatakiwa kuangalia nani unakutana nae. Kuna watu uandishi wao tu unaweza kujua akili yake ya ajabu kiasi gani kwenye maisha ya kawaida.
Hahaaaaa. Aiseeee.That is the main goal. Yan mfano nikutane na wewe mtoto Emmy alafu nakuona unalipa, kwa nini nisitangaze nia ya kuunganisha 'vyama' vya ASP na TANU?
Mbona mimi unanisumbua pm kila siku sijakufungulia uzi? [emoji23]. Kwanza ngoja nikufuate pm leoMimi ukinipm tu nakufungulia uzi.
Bac mie ntakuwa mwana JF wa kwanza kukuomba unyumba. Plz count on me as your future project...Hahaaaaa. Aiseeee.
Watu kama nyie ndio mtafanya watu waogope kuwaona yaani ukishaonana na mwanamke mzuri tu basi umeshabadili mawazo. Mmh.
Mie sijawahi. Nilioonana nao naheshimiana nao na hakuna hata mmoja aliyewaza mambo ya kuunganisha vikojoleo.
Acha utani Emmy ina maana kama umekutana na mtu humu na anajua uko single na umemvutia unadhani hatatangaza nia ya kuchukua jimbo? Labda kama wanajua umeolewa au uko na mchumba ndo hawataweza maana itakua sio adabu ila wakijua jimbo huru watajaribu tu kutupia wajaribu bahati zao.Hahaaaaa. Aiseeee.
Watu kama nyie ndio mtafanya watu waogope kuwaona yaani ukishaonana na mwanamke mzuri tu basi umeshabadili mawazo. Mmh.
Mie sijawahi. Nilioonana nao naheshimiana nao na hakuna hata mmoja aliyewaza mambo ya kuunganisha vikojoleo.
Wanyumbani unaweza kutana na mtu kiroho safi tu labda akakuta alivyokuona ni tofauti na alivyokua anajudhania. Ni vile unatakiwa kuangalia nani unakutana nae. Kuna watu uandishi wao tu unaweza kujua akili yake ya ajabu kiasi gani kwenye maisha ya kawaida.