kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaaa unavyo ongea kama mnajuana yani utakua unajua vingi ndugu yangu ntakutembelea sikuNapenda kuchati nanmtu ambaye hajavaa nguo ya ndani
Siyo lazima ila ni muhimuHivi kwani kuonana kwa member wa jf mpaka wale wakuunganisha vikojoleo. [emoji15] [emoji15] [emoji15]
I seeWanyumbani unaweza kutana na mtu kiroho safi tu labda akakuta alivyokuona ni tofauti na alivyokua anajudhania. Ni vile unatakiwa kuangalia nani unakutana nae. Kuna watu uandishi wao tu unaweza kujua akili yake ya ajabu kiasi gani kwenye maisha ya kawaida.
Na ikitokea haingii kwenye reli vizuli urafiki unakufa.Hata kama anawaza hawez kufunguka kwa sababu anajua mtakwazana. Na wao kabla ya kurusha ndoano huwa wanaweka urafiki kidogo hapo kwenye urafiki anakusoma kwamba je huyu anaonyesha interest kidogo na mimi au ananikazia sana kwenye udada na ukaka. Hivyo hata mkionana hawezi kuvuka zaidi sababu anaona huna muda wa hizo nafasi nyingine
Kwani unaounganisha nao vikijoleo hauwaheshim??Hahaaaaa. Aiseeee.
Watu kama nyie ndio mtafanya watu waogope kuwaona yaani ukishaonana na mwanamke mzuri tu basi umeshabadili mawazo. Mmh.
Mie sijawahi. Nilioonana nao naheshimiana nao na hakuna hata mmoja aliyewaza mambo ya kuunganisha vikojoleo.
Unasemaje mwanamke wa mkoaniMwanaume wa darislam
Mmmngh! Unawezaje kujua mawazo ya mtu?Hahaaaaa. Aiseeee.
Watu kama nyie ndio mtafanya watu waogope kuwaona yaani ukishaonana na mwanamke mzuri tu basi umeshabadili mawazo. Mmh.
Mie sijawahi. Nilioonana nao naheshimiana nao na hakuna hata mmoja aliyewaza mambo ya kuunganisha vikojoleo.
Hahaaaaa. Duuh.Mwana jf keshawahi khatar sana
Hahaaa. Kumbe ndio zenu hizo Kaka. Kurusha ndoano ni lazima duuh.Wanakuvutia siku ukikidhi vigezo vyao lazima utachomekewa tu labda kama mlikutana kwa ajili ya kazi au mambo mengine muhimu
Dooohh.
Hahaaaa. Msitake kutupotosha nikwambie tu heshima haziwezi kufanana. Sababu kila mmoja anakuwa na mipaka yake.
Hahaaa. Nikwambie tu mie kama mie sio mrahisi kuonana na mtu aiseee.Mmmngh! Unawezaje kujua mawazo ya mtu?
Yani hilo litegemee kabsaa labda kama kuna kitu kimewaunganisha hapo sawa.Hahaaa. Kumbe ndio zenu hizo Kaka. Kurusha ndoano ni lazima duuh.
Hahaaaa. Inategemea ntu na ntu hapo bwana.Yani hilo litegemee kabsaa labda kama kuna kitu kimewaunganisha hapo sawa.
Kama mmeungana kirafiki tu tegemea tongozo kama utaelekea kibra
Aiseeeeeee! Sababu ya ww kuwa hivo naijua sana tuHahaaa. Nikwambie tu mie kama mie sio mrahisi kuonana na mtu aiseee.
Hivyo mpaka nakubalia ujue tushachat sana na nishakuchota sana akili hivyo nakuwa kwa asilimia kubwa nishajua mawazo yako yalipo.
Kama ni ya kuunganishana hivyo vikojoleo duu. Utasubiri sana kumuona Emmy. Hahahaaaa.
Hahahaaa. Ni sababu ipi tena hiyo?Aiseeeeeee! Sababu ya ww kuwa hivo naijua sana tu
Nikuambie hapahapa kwenye hadharaaa au nikuambie pm?Hahahaaa. Ni sababu ipi tena hiyo?