Multiple Myeloma
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 466
- 393
Na mimi naruhusiwa kutangaza nia?Mi liko huru kwa kweli ila kuna wabunge watangaza nia.
Hela ya kuchukulia form unayo lakini mkuu?Na mimi naruhusiwa kutangaza nia?
Wachaaa.. kulikua moto huku eehzile screenshot za pm za fulani kapigwa chini zmeishia wapi? au ndo vyuma vmekaza na kusababisha pichu kulegea
[emoji85] [emoji85]Safiiiiiiii!!!!!!!
Mzigua mzigua90![emoji85] [emoji85]
Gari yangu imefika bandarini ttayari?Mzigua mzigua90!
Nikumbushe ya Aina gani vile?Gari yangu imefika bandarini ttayari?
Mkuu Nadaiwa gari na Mzigua90Atajuta kudate na mwanaume wa Dar![emoji23]
Vitz. Si wajua sinaga gharamaNikumbushe ya Aina gani vile?
Unataka kunipindua mkuu?[emoji30][emoji30][emoji30]Mkuu Nadaiwa gari na Mzigua90
Hapo juu hebu nitetee Mkuu....
Huwa nakukubali na huniangushi....
Je huyu mzigua Anavigezo?
Anastahili Gari?
(Vile vigezo vyako)
Duh!unanikumbusha rafiki yangu anatokea maeneo ya mtwara, lindi."ntu na ntu","ntoto".mzima lakini bibie?Hahaaaa. Inategemea ntu na ntu hapo bwana.
Na pia mnatutisha sasa jamaani. Ila wapo wengine wana heshima zao yaani hawana hata hayo mawazo aiseee kabisa yaaani hayo mawazo ya kututokea hawana.
Hivyo kaka sio wote wana mawazo hayo.
Sasa wewe si hunipi vitu vizuri.Unataka kunipindua mkuu?[emoji30][emoji30][emoji30]
Vitu vizuri vipo!....Hadi six pack ambazo mnazipenda sana ninyi wanawake wa Dar zipo pia!![emoji30][emoji30][emoji30]Sasa wewe si hunipi vitu vizuri.
Hapana Mkuu...yeye ni Mtani wangu sisi Wasukuma!Unataka kunipindua mkuu?[emoji30][emoji30][emoji30]
Unaishia kuangalia kwa macho kitu gani?Chura?[emoji30][emoji30][emoji30]Hapana Mkuu...yeye ni Mtani wangu sisi Wasukuma!
Mi naishiaga Kuangalia kwa Macho Tuu Mkuu...halafu wewe ndo mlaji[emoji115] [emoji30] [emoji6]
Chura Mkuu![emoji115] [emoji30] [emoji14]Unaishia kuangalia kwa macho kitu gani?Chura?[emoji30][emoji30][emoji30]
[emoji30][emoji30][emoji30]Chura Mkuu![emoji115] [emoji30] [emoji14]