Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

zile screenshot za pm za fulani kapigwa chini zmeishia wapi? au ndo vyuma vmekaza na kusababisha pichu kulegea
 
Atajuta kudate na mwanaume wa Dar![emoji23]
Mkuu Nadaiwa gari na Mzigua90
Hapo juu hebu nitetee Mkuu....
Huwa nakukubali na huniangushi....
Je huyu mzigua Anavigezo?
Anastahili Gari?
(Vile vigezo vyako)
 
Mkuu Nadaiwa gari na Mzigua90
Hapo juu hebu nitetee Mkuu....
Huwa nakukubali na huniangushi....
Je huyu mzigua Anavigezo?
Anastahili Gari?
(Vile vigezo vyako)
Unataka kunipindua mkuu?[emoji30][emoji30][emoji30]
 
Hahaaaa. Inategemea ntu na ntu hapo bwana.

Na pia mnatutisha sasa jamaani. Ila wapo wengine wana heshima zao yaani hawana hata hayo mawazo aiseee kabisa yaaani hayo mawazo ya kututokea hawana.

Hivyo kaka sio wote wana mawazo hayo.
Duh!unanikumbusha rafiki yangu anatokea maeneo ya mtwara, lindi."ntu na ntu","ntoto".mzima lakini bibie?
 
Hapana Mkuu...yeye ni Mtani wangu sisi Wasukuma!
Mi naishiaga Kuangalia kwa Macho Tuu Mkuu...halafu wewe ndo mlaji[emoji115] [emoji30] [emoji6]
Unaishia kuangalia kwa macho kitu gani?Chura?[emoji30][emoji30][emoji30]
 
Back
Top Bottom