naomba tuonene emmyta wangu...Hahaaaaa. Mpaka mtu anakubali kuonana na member mwenzie inaonyesha dhahiri amekubaliana na yote. Sasa hayo ya kuambiana usinifungulie uzi yanafuata nini nadhani ni kutokujiamini tu hapo.
Pia kuna watu ukionana nao yaani kwa jinsi mnavyokuwa mmeshibana hata hayo mawazo huwa hayapo kabisa zaidi ya kufurahi kwa kufanikiwa kuonana.
Poleni msiochuja wa kuonana nao.
Six pack ndo zitanilipia kodi? Zitanilkpia salon? Kaa na six pack zako.Vitu vizuri vipo!....Hadi six pack ambazo mnazipenda sana ninyi wanawake wa Dar zipo pia!![emoji30][emoji30][emoji30]
Hilo tu? Mbona hiyo kawaida!!Hela ya kuchukulia form unayo lakini mkuu?
hahaaaKanali gani unakuwa mshambenga
hahaaa emmyta bhana haya maneno machafu waachie wenyew wazaramo ..wewe sio desturi yako hiiHivi kwani kuonana kwa member wa jf mpaka wale wakuunganisha vikojoleo. [emoji15] [emoji15] [emoji15]
hahaaa aiseeWanyumbani unaweza kutana na mtu kiroho safi tu labda akakuta alivyokuona ni tofauti na alivyokua anajudhania. Ni vile unatakiwa kuangalia nani unakutana nae. Kuna watu uandishi wao tu unaweza kujua akili yake ya ajabu kiasi gani kwenye maisha ya kawaida.
Basi karibuHilo tu? Mbona hiyo kawaida!!
sasa wajua vipi kuwa hajawahi kuwaza tofauti wakati Mawazo huwa nisiri ya mtu kwanza kabla hajaamua kuyawasilisha kwa muhusika Ana wahusika...huwenda wapo wanaokuwazia tofauti ila kwaajili ya vijisababu flani wameamua kuendelea kuyahifadhi Mawazo yao pasipo kukueleza fukuto linalo tokota mioyoni mwaoHahaa. Hiyo ni kwa wale ma Single ila kama mie haijawahi nitokea Wanyumbani sababu wote ninaoonana nao hakuna aliyewaza tofauti nadhani sababu ni hiyo.
Aisee inabidi ufikirie mara mbili kabla hujakubali kukutana na mtu aiseeBora aanzishe uzi aongelee vizuri kama huyu hajaandika kibaya. Kuna mwingine utakuta mmemaliza kuachana anakuja kuweka uzi humu halafu anavyoongelea unaona kabisa anakugusa wewe na anaweka vitu ambavyo vitakuumiza.
Pole Kaka nisamehe bure ndugu yako. Ila nimerekebisha.hahaaa emmyta bhana haya maneno machafu waachie wenyew wazaramo ..wewe sio desturi yako hii
Hahaaaa Haya bana.sasa wajua vipi kuwa hajawahi kuwaza tofauti wakati Mawazo huwa nisiri ya mtu kwanza kabla hajaamua kuyawasilisha kwa muhusika Ana wahusika...huwenda wapo wanaokuwazia tofauti ila kwaajili ya vijisababu flani wameamua kuendelea kuyahifadhi Mawazo yao pasipo kukueleza fukuto linalo tokota mioyoni mwao
Sawa babu tuonane. [emoji2] [emoji2] [emoji2]naomba tuonene emmyta wangu...
Mie mzima kabisa. Sijui wewe?Duh!unanikumbusha rafiki yangu anatokea maeneo ya mtwara, lindi."ntu na ntu","ntoto".mzima lakini bibie?
Isee !!! Kumbe kuunganisha vikojoleo ni bahati !!? Ngoja nifanye tafiti [emoji16][emoji16][emoji16] !!Acha utani Emmy ina maana kama umekutana na mtu humu na anajua uko single na umemvutia unadhani hatatangaza nia ya kuchukua jimbo? Labda kama wanajua umeolewa au uko na mchumba ndo hawataweza maana itakua sio adabu ila wakijua jimbo huru watajaribu tu kutupia wajaribu bahati zao.
Eeeh si mpaka unaemtaka akukubali si bahati hiyo kupewa kati ya wengi.Isee !!! Kumbe kuunganisha vikojoleo ni bahati !!? Ngoja nifanye tafiti [emoji16][emoji16][emoji16] !!
haya mkuu ..tuko pamojaPole Kaka nisamehe bure ndugu yako. Ila nimerekebisha.
Ahsante sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120]