Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Hahaaaaa. Mpaka mtu anakubali kuonana na member mwenzie inaonyesha dhahiri amekubaliana na yote. Sasa hayo ya kuambiana usinifungulie uzi yanafuata nini nadhani ni kutokujiamini tu hapo.

Pia kuna watu ukionana nao yaani kwa jinsi mnavyokuwa mmeshibana hata hayo mawazo huwa hayapo kabisa zaidi ya kufurahi kwa kufanikiwa kuonana.

Poleni msiochuja wa kuonana nao.
naomba tuonene emmyta wangu...
 
Hivi kwani kuonana kwa member wa jf mpaka wale wakuunganisha vikojoleo. [emoji15] [emoji15] [emoji15]
hahaaa emmyta bhana haya maneno machafu waachie wenyew wazaramo ..wewe sio desturi yako hii
 
Wanyumbani unaweza kutana na mtu kiroho safi tu labda akakuta alivyokuona ni tofauti na alivyokua anajudhania. Ni vile unatakiwa kuangalia nani unakutana nae. Kuna watu uandishi wao tu unaweza kujua akili yake ya ajabu kiasi gani kwenye maisha ya kawaida.
hahaaa aisee
 
Hahaa. Hiyo ni kwa wale ma Single ila kama mie haijawahi nitokea Wanyumbani sababu wote ninaoonana nao hakuna aliyewaza tofauti nadhani sababu ni hiyo.
sasa wajua vipi kuwa hajawahi kuwaza tofauti wakati Mawazo huwa nisiri ya mtu kwanza kabla hajaamua kuyawasilisha kwa muhusika Ana wahusika...huwenda wapo wanaokuwazia tofauti ila kwaajili ya vijisababu flani wameamua kuendelea kuyahifadhi Mawazo yao pasipo kukueleza fukuto linalo tokota mioyoni mwao
 
Bora aanzishe uzi aongelee vizuri kama huyu hajaandika kibaya. Kuna mwingine utakuta mmemaliza kuachana anakuja kuweka uzi humu halafu anavyoongelea unaona kabisa anakugusa wewe na anaweka vitu ambavyo vitakuumiza.
Aisee inabidi ufikirie mara mbili kabla hujakubali kukutana na mtu aisee
 
hahaaa emmyta bhana haya maneno machafu waachie wenyew wazaramo ..wewe sio desturi yako hii
Pole Kaka nisamehe bure ndugu yako. Ila nimerekebisha.

Ahsante sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
sasa wajua vipi kuwa hajawahi kuwaza tofauti wakati Mawazo huwa nisiri ya mtu kwanza kabla hajaamua kuyawasilisha kwa muhusika Ana wahusika...huwenda wapo wanaokuwazia tofauti ila kwaajili ya vijisababu flani wameamua kuendelea kuyahifadhi Mawazo yao pasipo kukueleza fukuto linalo tokota mioyoni mwao
Hahaaaa Haya bana.
 
Acha utani Emmy ina maana kama umekutana na mtu humu na anajua uko single na umemvutia unadhani hatatangaza nia ya kuchukua jimbo? Labda kama wanajua umeolewa au uko na mchumba ndo hawataweza maana itakua sio adabu ila wakijua jimbo huru watajaribu tu kutupia wajaribu bahati zao.
Isee !!! Kumbe kuunganisha vikojoleo ni bahati !!? Ngoja nifanye tafiti [emoji16][emoji16][emoji16] !!
 
Isee !!! Kumbe kuunganisha vikojoleo ni bahati !!? Ngoja nifanye tafiti [emoji16][emoji16][emoji16] !!
Eeeh si mpaka unaemtaka akukubali si bahati hiyo kupewa kati ya wengi.
 
Back
Top Bottom