Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Aisee inabidi ufikirie mara mbili kabla hujakubali kukutana na mtu aisee
Ndo hivyo mkwe kwa mfano unakutana na yule mtu anaitwa big nini sijui unajua nini kitakachokukuta baada ya hapo.
 
Mie mzima kabisa. Sijui wewe?

Nina mdogo wangu ndio huwa ananiharibu. Hahaaaa.
Ooh sawa bibie emmyta.kwa hiyo mdogo wako anatokea pande hizo? Nasikia ni mafundi sana kunako 6 kwa 6.hizi taarifa ni za kweli?
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106]
Poa itabidi nikutafute pm baadae unieleze ukweli tu.naona unaogopa kumwaga kuku kwenye Mchele mwingi. [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Poa itabidi nikutafute pm baadae unieleze ukweli tu.naona unaogopa kumwaga kuku kwenye Mchele mwingi. [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahaaa. Nilishahamaga hiyo Mitaa Mkuu na huwa siitumii siku hizi na kufuli nilishamrudishia mwenye nyumba yake.
 
Rafiki lini tutaonana?ila usije na hiyo avatar![emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hahahaaaa. Mie hata sihitaji nauli Babu nikitaka kuja nitakufanyia bonge la Suprise tukutane pale Kibo naniliu [emoji85] najua ni maeneo yako pia kama sijakosa. [emoji12] [emoji12]
Ewaaa.... na hapa navoandika niko opposite na hapo nagonga makange... Yani hapa Brazil kwa hapa hivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…