Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Ngoja Saint Ivuga atatupa jibuKuna nguvu yoyote ukichat na mtu ambaye haja vaa nguo ya ndani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja Saint Ivuga atatupa jibuKuna nguvu yoyote ukichat na mtu ambaye haja vaa nguo ya ndani?
Ndo hivyo mkwe kwa mfano unakutana na yule mtu anaitwa big nini sijui unajua nini kitakachokukuta baada ya hapo.Aisee inabidi ufikirie mara mbili kabla hujakubali kukutana na mtu aisee
Kwani MMU hamna biashara?Inategemea wameonana kupitia jukwaa lipi! Wanaoonana kupitia jukwaa LA MMU lengo ni mgegedo tu! Biashara wapi na wapi????
Ooh sawa bibie emmyta.kwa hiyo mdogo wako anatokea pande hizo? Nasikia ni mafundi sana kunako 6 kwa 6.hizi taarifa ni za kweli?Mie mzima kabisa. Sijui wewe?
Nina mdogo wangu ndio huwa ananiharibu. Hahaaaa.
Ndio anatokea huko aiseee. Hayo ya ufundi hata sijui mie [emoji85] hivyo nashindwa hata kuzisemea.Ooh sawa bibie emmyta.kwa hiyo mdogo wako anatokea pande hizo? Nasikia ni mafundi sana kunako 6 kwa 6.hizi taarifa ni za kweli?
Asante mkuu nawe piaNdio anatokea huko aiseee. Hayo ya ufundi hata sijui mie [emoji85] hivyo nashindwa hata kuzisemea.
Uwe na asubuhi njema Mkuu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106]Asante mkuu nawe pia
Poa itabidi nikutafute pm baadae unieleze ukweli tu.naona unaogopa kumwaga kuku kwenye Mchele mwingi. [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106]
wa Dar!mwanaume
Hahaaa. Nilishahamaga hiyo Mitaa Mkuu na huwa siitumii siku hizi na kufuli nilishamrudishia mwenye nyumba yake.Poa itabidi nikutafute pm baadae unieleze ukweli tu.naona unaogopa kumwaga kuku kwenye Mchele mwingi. [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Rafiki lini tutaonana?ila usije na hiyo avatar![emoji125][emoji125][emoji125]Hahaaaaa. Mpaka mtu anakubali kuonana na member mwenzie inaonyesha dhahiri amekubaliana na yote. Sasa hayo ya kuambiana usinifungulie uzi yanafuata nini nadhani ni kutokujiamini tu hapo.
Pia kuna watu ukionana nao yaani kwa jinsi mnavyokuwa mmeshibana hata hayo mawazo huwa hayapo kabisa zaidi ya kufurahi kwa kufanikiwa kuonana.
Poleni msiochuja wa kuonana nao.
Aysee umefanya maamuzi magumu mkuu.basi sawa hamna 5Hahaaa. Nilishahamaga hiyo Mitaa Mkuu na huwa siitumii siku hizi na kufuli nilishamrudishia mwenye nyumba yake.
Hahahaa. Lazima ukimbie tu siku hiyo na kunizimia simu juu rafiki.Rafiki lini tutaonana?ila usije na hiyo avatar![emoji125][emoji125][emoji125]
Hahaaaa. Sio magumu bana si unaona mambo yalivyo lakini.Aysee umefanya maamuzi magumu mkuu.basi sawa hamna 5
Ukipata nauli unambie nikuelekeze hapa Bunju BSawa babu tuonane. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaaaa. Mie hata sihitaji nauli Babu nikitaka kuja nitakufanyia bonge la Suprise tukutane pale Kibo naniliu [emoji85] najua ni maeneo yako pia kama sijakosea. [emoji12] [emoji12]Ukipata nauli unambie nikuelekeze hapa Bunju B
Ewaaa.... na hapa navoandika niko opposite na hapo nagonga makange... Yani hapa Brazil kwa hapa hivi...Hahahaaaa. Mie hata sihitaji nauli Babu nikitaka kuja nitakufanyia bonge la Suprise tukutane pale Kibo naniliu [emoji85] najua ni maeneo yako pia kama sijakosa. [emoji12] [emoji12]
Hahaaaa. Yaani upo hapo Duuh.Ewaaa.... na hapa navoandika niko opposite na hapo nagonga makange... Yani hapa Brazil kwa hapa hivi...
Si unajua mambo ya kutoa lock one time?Hahaaaa. Yaani upo hapo Duuh.
Haya bana Babu.