Hahahaa. Kweli kabisa babu.Si unajua mambo ya kutoa lock one time?
Mambo kwani yakoje mkuu? Unajua jf imeshawaunganisha watu pamoja kweli?Hahaaaa. Sio magumu bana si unaona mambo yalivyo lakini.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hahaaaaa. Mpaka mtu anakubali kuonana na member mwenzie inaonyesha dhahiri amekubaliana na yote. Sasa hayo ya kuambiana usinifungulie uzi yanafuata nini nadhani ni kutokujiamini tu hapo.
Pia kuna watu ukionana nao yaani kwa jinsi mnavyokuwa mmeshibana hata hayo mawazo huwa hayapo kabisa zaidi ya kufurahi kwa kufanikiwa kuonana.
Poleni msiochuja wa kuonana nao.
WiseHivi kwani kuonana kwa member wa jf mpaka wale wakuunganisha viko**leo. [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kuna ukweli ndani yake.Wanyumbani unaweza kutana na mtu kiroho safi tu labda akakuta alivyokuona ni tofauti na alivyokua anajudhania. Ni vile unatakiwa kuangalia nani unakutana nae. Kuna watu uandishi wao tu unaweza kujua akili yake ya ajabu kiasi gani kwenye maisha ya kawaida.