Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Hahaaaaa. Mpaka mtu anakubali kuonana na member mwenzie inaonyesha dhahiri amekubaliana na yote. Sasa hayo ya kuambiana usinifungulie uzi yanafuata nini nadhani ni kutokujiamini tu hapo.

Pia kuna watu ukionana nao yaani kwa jinsi mnavyokuwa mmeshibana hata hayo mawazo huwa hayapo kabisa zaidi ya kufurahi kwa kufanikiwa kuonana.

Poleni msiochuja wa kuonana nao.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Wanyumbani unaweza kutana na mtu kiroho safi tu labda akakuta alivyokuona ni tofauti na alivyokua anajudhania. Ni vile unatakiwa kuangalia nani unakutana nae. Kuna watu uandishi wao tu unaweza kujua akili yake ya ajabu kiasi gani kwenye maisha ya kawaida.
Kuna ukweli ndani yake.

Pia kuna Comedian!
 
Back
Top Bottom