Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Kuna member mmoja alikutana na nyonyo kama tikiti la morogoro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

Huyu jamaa Siasa Basi sijui yupo wapi cku hizi ule uzi wake ulileta gumzo sana humu
 
Mbona hatuoni sharashamra za kampeni, au viwanja vyenyewe ni PM? Kuna watu wanataka kutia nia ya kuingia kwenye kinyang'anyiro ila wanaogopa ule uso wako ukimuwekea mtu anakua mpole...
Unavyokuja ndo unavyopokelewa. Ukija kirafiki utapokelewa kirafiki until further notice. Ukija ki upigaji utakaa kwenye dustbin. Ninaochat nao na nilionana nao walikuja kistaarabu hadi mtu unaona aibu kwamba ni nini hicho unachokificha mpaka hutak kuonana na watu.
 
Mbona hatuoni sharashamra za kampeni, au viwanja vyenyewe ni PM? Kuna watu wanataka kutia nia ya kuingia kwenye kinyang'anyiro ila wanaogopa ule uso wako ukimuwekea mtu anakua mpole...
Ehee acha nishuhudie tongozo la kihenga aibu ataona yeye ha ha haaa
 
Naungana na wewe kabisa,
Hivi mtu anavyosema mtu mbovu anamaanisha nini!
Binafsi najionaga nipo sawa sasa hao wanaosema watu wabovu sijui wanakuaje!
Sijui wanafanana na nini au nani. Ila uzuri wa mtu uko kwa mtu. Naweza sema fulani mzuri nikamsifia akaja mwingine akamponda mbovu. So inawezekana alokutana nao walikua wabovu kwenye macho yake tu.
 
Naungana na wewe kabisa,
Hivi mtu anavyosema mtu mbovu anamaanisha nini!
Binafsi najionaga nipo sawa sasa hao wanaosema watu wabovu sijui wanakuaje!
Usishtuke na maneno ya watu humu wee furahi tu kuna wazushi humu na kila aina ya watu tumo humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…