Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Ndo maana nimeshindwa hadi kumjibu nimepita tu pembeni.Mkuu kwa huu uandishi mkali, punguza kidogo, ujue hapa ni sehem ya kufurahi tu, dont take it too serious.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana nimeshindwa hadi kumjibu nimepita tu pembeni.Mkuu kwa huu uandishi mkali, punguza kidogo, ujue hapa ni sehem ya kufurahi tu, dont take it too serious.
Kutokumtongoza mtu ndiyo heshima??Hahaaaa. Inategemea ntu na ntu hapo bwana.
Na pia mnatutisha sasa jamaani. Ila wapo wengine wana heshima zao yaani hawana hata hayo mawazo aiseee kabisa yaaani hayo mawazo ya kututokea hawana.
Hivyo kaka sio wote wana mawazo hayo.
Aaah watamu kama na wewe utamjingia kimalaya. Mi nilimpenda fulani nahisi ndo maana nilishindwa umalaya wake. Mwanaume kila mwanamke wa mji huu anamjua. Mtu anakuuliza unatoka na B hivi huogopi yule kaka alivyo malaya. Wengine washkaji zake wanasema tunavyokujua we sio mwanamke wa kutoka na B. Nabaki tu atabadilika. Nilishindwa mwenyewe nikampigia simu nikamwambia B it's over. Na kweli sikumrudia tena. Kuna muda tulivyoachana nilikua namiss kibamia ila kula kibamia na magonjwa hapana.Wanaume malaya watamu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Masikhara Masikhara... Mbuzi alimpanda *****
Ndo maana nimeshindwa hadi kumjibu nimepita tu pembeni.
Ungemwacha tuMie nimekosea kumjibu
Sitakunali kabsaa swahiba anajulikana sio mpaka aulizwe jimbo.
Uzuri wenye majimbo tunajali hivyo ni rahisi kuongezewa kata tuendelee
Kaka angu huyo.Unajua kwanini nauliza? Kwa sababu uswahiba wetu hauhusishi majimbo, na kwa kuwa hilo halikua lengo, sikua najua kwamba jimbo lipo wazi. Unataka kutia nia mkuu?
Mzigua90!....Kaka angu huyo.
Yes dearMzigua90!....
Hapana sina nia hiyo hata kama nia ingekwepo ningeomba wapinzani ntakua mpiga kura mkuu twende kaziUnajua kwanini nauliza? Kwa sababu uswahiba wetu hauhusishi majimbo, na kwa kuwa hilo halikua lengo, sikua najua kwamba jimbo lipo wazi. Unataka kutia nia mkuu?
Labda kaambiwa nyi ni malaika ha ha haaaHivi kwani waliomo humu JF si ndo hao hao waliopo kitaani? au wanapatikana sayari nyingine? Sijui nyie wavulana mpoje sikuhizi,Uwezo wa kufikiria umedumaa nadhani mnahitaji kuombewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kaka angu huyo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Wanaume malaya watamu sana
huwa anapitia vyuo vingi kwa sababu ni mtazamo tu[emoji125]Wanaume malaya watamu sana
Practice makes perfect [emoji4]huwa anapitia vyuo vingi kwa sababu ni mtazamo tu[emoji125]