Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Hahaaaa. Inategemea ntu na ntu hapo bwana.

Na pia mnatutisha sasa jamaani. Ila wapo wengine wana heshima zao yaani hawana hata hayo mawazo aiseee kabisa yaaani hayo mawazo ya kututokea hawana.

Hivyo kaka sio wote wana mawazo hayo.
Kutokumtongoza mtu ndiyo heshima??
 
Wanaume malaya watamu sana
Aaah watamu kama na wewe utamjingia kimalaya. Mi nilimpenda fulani nahisi ndo maana nilishindwa umalaya wake. Mwanaume kila mwanamke wa mji huu anamjua. Mtu anakuuliza unatoka na B hivi huogopi yule kaka alivyo malaya. Wengine washkaji zake wanasema tunavyokujua we sio mwanamke wa kutoka na B. Nabaki tu atabadilika. Nilishindwa mwenyewe nikampigia simu nikamwambia B it's over. Na kweli sikumrudia tena. Kuna muda tulivyoachana nilikua namiss kibamia ila kula kibamia na magonjwa hapana.
 
Sitakunali kabsaa swahiba anajulikana sio mpaka aulizwe jimbo.

Uzuri wenye majimbo tunajali hivyo ni rahisi kuongezewa kata tuendelee

Unajua kwanini nauliza? Kwa sababu uswahiba wetu hauhusishi majimbo, na kwa kuwa hilo halikua lengo, sikua najua kwamba jimbo lipo wazi. Unataka kutia nia mkuu?
 
Wanaume hatukoivo kiongozi wetu.

Kati Ya sifa za mwanaume ni kutunza siri.
Ndiyo maana tunakufa na tai shingoni kama Mjerumani
 
Hivi kwani waliomo humu JF si ndo hao hao waliopo kitaani? au wanapatikana sayari nyingine? Sijui nyie wavulana mpoje sikuhizi,Uwezo wa kufikiria umedumaa nadhani mnahitaji kuombewa.
 
Unajua kwanini nauliza? Kwa sababu uswahiba wetu hauhusishi majimbo, na kwa kuwa hilo halikua lengo, sikua najua kwamba jimbo lipo wazi. Unataka kutia nia mkuu?
Hapana sina nia hiyo hata kama nia ingekwepo ningeomba wapinzani ntakua mpiga kura mkuu twende kazi
 
Back
Top Bottom