Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wajue Wapinzani wa Simba SC Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika
Katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC inakutana na wapinzani wenye historia kubwa katika michuano hii. Wapinzani hao ni CS Sfaxien na CS Constantine.
1. CS Sfaxien: Huyu ni bingwa mara tatu wa Kombe la Shirikisho Afrika. Pia, wamefika nusu fainali mara mbili katika CAF Champions League, wakionyesha uwezo wao mkubwa katika mashindano ya kimataifa.
2. CS Constantine: Wao ni bingwa mara mbili wa Ligi ya Algeria. Pia, wamefika robo fainali mara moja katika CAF Champions League, wakionyesha kuwa ni timu yenye ushindani katika ukanda wa Afrika.
3. Wao Bravo: Ni mara yao ya kwanza kushiriki michuano ya kimataifa, hivyo wakiwa na hamu ya kuonyesha uwezo wao na kujifunza kutoka kwa wapinzani wenye uzoefu.
Hii hapa Kauli ya Ahmed Ally, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba baada ya droo Kombe la Shirikisho Afrika kupangwa akizungumza na vyombo vya habari.
Pia, Soma: CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024