Kauli ya Bi Harusi

Kauli ya Bi Harusi

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
TUCHEKE

Bi harusi baada ya kuolewa alihamia kwa mumewe anayeishi na wazazi wake. Akakaribishwa na lecture kutoka kwa Mama mkwe wake, sheria na katiba za nyumbani.

Mama mkwe: Mimi ndio Waziri Mkuu wa nyumba hii, Baba mkwe wako ni Wazirii wa Fedha, Wifi yako naye ni waziri wa Maendeleo, mikakati na desturi za nyumba hii, Mume wako naye ni waziri wa usalama na kuongeza idadi ya familia hii. Je wewe mkwe ungependelea kua waziri wa wizara gani???

Bi Harusi: (huku akitabasamu kwa ujeuri, akajibu kwa haraka) Mpenzi Mama Mkwe, mie nitakua kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani’….
 
hahahaha mleta mada unautani na mbowe.
 
teh teh tehhhhh. Anadumisha Demokrasia ndani ya familia
 
TUCHEKE

Bi harusi baada ya kuolewa alihamia kwa mumewe anayeishi na wazazi wake. Akakaribishwa na lecture kutoka kwa Mama mkwe wake, sheria na katiba za nyumbani.

Mama mkwe: Mimi ndio Waziri Mkuu wa nyumba hii, Baba mkwe wako ni Wazirii wa Fedha, Wifi yako naye ni waziri wa Maendeleo, mikakati na desturi za nyumba hii, Mume wako naye ni waziri wa usalama na kuongeza idadi ya familia hii. Je wewe mkwe ungependelea kua waziri wa wizara gani???

Bi Harusi: (huku akitabasamu kwa ujeuri, akajibu kwa haraka) Mpenzi Mama Mkwe, mie nitakua kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani’….
Haha haha haha Kwanza Ningekuwa mm mmewe ningempa mkono wa pongezi maana analeta mabadiliko Kwenye nyumba ya mawazili wa chama kimoja
 
Back
Top Bottom