LGE2024 Kauli ya Chadema ya " Watake Wasitake Tutashiriki na Kushinda" imeishia wapi? Naona wamekuwa Wapole mno kuliko enzi za Shujaa Magufuli!

LGE2024 Kauli ya Chadema ya " Watake Wasitake Tutashiriki na Kushinda" imeishia wapi? Naona wamekuwa Wapole mno kuliko enzi za Shujaa Magufuli!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
20240922_155031.jpg
 
Unajua kauli kama hizi zinachochea vurugu mtaani pasipo na sababu.

CCM imeshinda kwa 99%, ni ushindi mnono sana, hakuna sababu ya kuwazomea waliopata asilimia moko, kufanya hivyo kuna ashiria ushindi huo haukuwa wa kweli.
 
Mimi nlijuwa kitambo tu cdm hawawezi,kushinda maana mfumo uliyopo unailinda ccm na uko kwa ajili ya ccm
Kupiga kura na kushiriki hizi chaguzi ni kupoteza muda tu

Ova
 
Inategemea tafsiri ya ushindi. Kuna ule wa kutangazwa na wa uhalisia. Ni mtu kuchagua tu anaouamini.

Amandla...
 
Mwanamke hagombezwi hadharani na mwanaume.

Huyu maushungi kajipambanua kuwa ni mtaka shari mbele ya wanaume. Atulie atajibiwa kiume.
 
Unajua kauli kama hizi zinachochea vurugu mtaani pasipo na sababu.

CCM imeshinda kwa 99%, ni ushindi mnono sana, hakuna sababu ya kuwazomea waliopata asilimia moko, kufanya hivyo kuna ashiria ushindi huo haukuwa wa kweli.
Mm bnafs skuchaguwa chama sababu n moja naona upizan awako sriaz ivi kwl mgombea asubh na wajumbe wake wanakuja wamelewa alaf ss vjana weng wetu hatpg kura alaf mnategemea watu wazma wamchaguwe kiongoz mlevi upzan ujitafakar kuwaweka wagombea wenye uelewa nn anaenda kukjfanya kweny mtaa wake syo tu anajua kusema P'ps power. hiilipia ni tatzo niliyo iona mtaan kwangu
 
Business as usual na 2025 tumo tena mara paap Hii hapa !😳 mchongo si ndio huu ??!
Nanunua nyumba au nanunua Ndinga?
Chombo. !!
Maisha yanaendelea Ubaya Ubwela !
Maisha ndio haya Bandugu 😅😅😂😂😀🙌👍🙏
 
Inategemea tafsiri ya ushindi. Kuna ule wa kutangazwa na wa uhalisia. Ni mtu kuchagua tu anaouamini.

Amandla...
Wacha visingizio..Kwenye kila sehemu walioshinda CCM walijitokeza maelfu ya watu wakishangilia ushindi walioupata.Kelele za wapinzani zilisikika sehemu chache sana wengi wao wakilalamika bila ushahidi.
Mfano kuna mtaa USA river unaitwa Mji mwema CCM wamepata kura takriban 5000 Chadema kura 120.Bado unalalama na kutafuta visingizio?
Mawakala wamejitokeza na kusema uchaguzi haukuwa na figisu. Badala ya kutafuta chanzo cha kushindwa vibaya mnaleta visingizio.
Huwezi kushinda uchaguzi bila grassroots votes.Kufanya kosa na kulirudia mara kwa mara na kutegemea matokeo tofauti ni ukichaa.
 
Back
Top Bottom