mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Kauli ya aliyekua mkuu wa wilaya ya Loliondo mkoa wa Arusha Marco Ng’umbi kua serikali iliwezesha ushindi wa madiwani na baadhi ya wabunge nchini katika uchaguzi uliopita, imetibua kidonda cha madai kua mifumo ya sheria za uchaguzi ili viongozi wanaopatikana watokane na matakwa ya wananchi walio wachagua.
Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Aidha, kauli hiyo imeelezwa kua inakwenda kinyume na falsafa za Rais Samia Suluhu Hassan ambapo amekua akihubiri siasa za maridhiano na kufanyikia kwa uchaguzi ulio huru na wa haki, na kuwataka wasaidizi wake kuhakikisha wanaziishi falsafa hizo za kidemokrasia.
Pia soma: Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa