Kauli ya diamond na ommy kama mashaikh,basata,TCRA,JESHI LA POLISI, wasipojitokeza kumuonya basi ndo haya haya wanayoendeleza kubariki huu utawala

Kauli ya diamond na ommy kama mashaikh,basata,TCRA,JESHI LA POLISI, wasipojitokeza kumuonya basi ndo haya haya wanayoendeleza kubariki huu utawala

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ni kwamba sasa washatuzarau kuonesha wanakula keki ya taifa na watala wa CCM mpaka kufikia steji ya kututukana.


Hivi kwa nini wananchi na mashabiki kuweka ajenda kuunfollow na kutosupport kazi zake.
 
hebu andika basi hayo aliyosema na w ewe ukayatafsiri kama matusi. Siyo sote huwa tunaangalia hao wasanii
 
Back
Top Bottom