Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Huyu jamaa anatakiwa aombe radhi ili afanikiwe. Kati ya vitu nililaani hatochukua kiatu ni yale maneno aliulizwa eti unaongeleaje kurudi Yanga akasema yeye kurudi Yanga labda Eng. Hersi aondoke.
Wewe una akili kweli? Eng. Hersi aondoke kabisa, kha pole sana Feitoto utaishia hivihivi kupambana wenzio wanachukua.
Tukutane ligi ijayo.
Wewe una akili kweli? Eng. Hersi aondoke kabisa, kha pole sana Feitoto utaishia hivihivi kupambana wenzio wanachukua.
Tukutane ligi ijayo.