Tutajie mchezaji mwingne wa yanga mwenye goli kumi na tisa ukiacha Azizi hamisa!!Huyu jamaa anatakiwa aombe radhi ili afanikiwe. Kati ya vitu nililaani hatochukua kiatu ni yale maneno aliulizwa eti unaongeleaje kurudi Yanga akasema yeye kurudi Yanga labda Eng. Hersi aondoke.
Wewe una akili kweli? Eng. Hersi aondoke kabisa, kha pole sana Feitoto utaishia hivihivi kupambana wenzio wanachukua.
Tukutane ligi ijayo.
Timu Moja kutoa top scorers wawili ni ngumuTutajie mchezaji mwingne wa yanga mwenye goli kumi na tisa ukiacha Azizi hamisa!!
Hakika Simba walishabikia sana Fei kugombana na Yanga na wakamsapoti 100% sasa amefunga goli za kutosha ambazo zimesababisha MAKOLO WASICHEZE LIGI YA MABINGWA.Yule ni mtoto mdogo alikuwa katumwa na ramba ramba ili wabebe ubingwa huoni wamenufaika sana msimu huu,
Kawafungia magoli 18 yaliyowafanya azam watinge CAF CL msimu ujao huku simba wakilala na viatu
Simba itashinda kuanzia Sasa mfululizo miaka 10Huyu jamaa anatakiwa aombe radhi ili afanikiwe. Kati ya vitu nililaani hatochukua kiatu ni yale maneno aliulizwa eti unaongeleaje kurudi Yanga akasema yeye kurudi Yanga labda Eng. Hersi aondoke.
Wewe una akili kweli? Eng. Hersi aondoke kabisa, kha pole sana Feitoto utaishia hivihivi kupambana wenzio wanachukua.
Tukutane ligi ijayo.
Likizo zitaanza Fei atasoma hoja yako huku akaunt imenona pesa za Azam.Huyo Fei kubwa magoli aliyopata ya mchongo tu ! Mnasahau mechi ya Azam na Tabora United walikuwa wachezaji saba wa Tabora United uwanjani ndipo huyo popoma Fei kubwa akafunga magoli yake manne ya mchongo ! Na hii yote ilikuwa
TIFUA TIFUA wanaindalia Azam ubingwa toka day one ! Lakini wameshindwa !
Mfa maji haachi kutapatapa Smart
Tena haiwezekani.Timu Moja kutoa top scorers wawili ni ngumu