kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Wakati huu Sirro anapaswa kua mnyenyekevu na kuongoza vikosi vyake kujitathimini na kujirekwbisha kwa mauaji na uonevu waliofanya dhidi ya 'raia wema'.
Ni kweli na ni ukweli mtupu maisha ya polisi hayana thamani yoyote zaidi ya maisha ya raia.
Lakini vipigo, uporaji, mauaji na dhukuma ndicho polisi wanachofanya mara nyingi dhidi ya raia. Ushahidi upo mwingi ikiwemo mauaji ya Mwangosi (mwandishi wa habari)
Itoshe kusema POLISI WANACHOPANDA NDICHO WALICHOVUNA NA WATAENDELEA KUVUNA