Hili jeshi Polisi limekaa kikoloni Kama la ujerumani enzi zile!
Ukatili tu pumbaf zao,kutumia nguvu kwenye kitu Cha kutumia akili
Na ndio maana Kibanga alimpiga mkoloni aliyekua anaogopeka na kuitwa bwana mkubwa
Juzi Hamza kawapiga Polisi wenye Tabia zile zile!
Kibanga ampiga mkoloni
Mkoloniš