Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Utatengwa wewe kapuku,hoa wakubwa achana nao wanajuana wenyeweSamia ajitenge mbali sana na hawa wanafiki. Angekuwa na chembe ya ukweli angetujulisha wale waliosomba pesa ya escrow kwa magari ya Ikulu walikuwa kina nani.
Hata hivyo, nina hakika hiyo haitakuwa tweet ya Kikwete.
It's from some distraught nuts trying to kill their frustrations.Mkuu mbona kwenye alaunti yake hakuna ujumbe kama huo