Yako Atta JF-Expert Member Joined Oct 26, 2016 Posts 279 Reaction score 455 Aug 4, 2020 #121 Kuna kila dalili ya kuja kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Aug 4, 2020 #122 Yako Atta said: Kuna kila dalili ya kuja kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa Click to expand... CCM hawezi kukubali asilani, viongozi wake ni wabinafsi.
Yako Atta said: Kuna kila dalili ya kuja kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa Click to expand... CCM hawezi kukubali asilani, viongozi wake ni wabinafsi.
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Aug 4, 2020 #123 mysterio said: Wakifanya hivyo tutachoma moto kila kinachochomeka Click to expand... Hamna ujasiri huo.mngesha choma zamani sana.
mysterio said: Wakifanya hivyo tutachoma moto kila kinachochomeka Click to expand... Hamna ujasiri huo.mngesha choma zamani sana.
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Aug 4, 2020 #124 fazili said: Magu ni mwoga mno wa kitu kinachoitwa demokrasia. Na kwa hili ataleta vurugu kubwa nchini. Click to expand... Akuna virugu.sisi watanzania tuko pamoja na Rais JPM kwa hali na mali.
fazili said: Magu ni mwoga mno wa kitu kinachoitwa demokrasia. Na kwa hili ataleta vurugu kubwa nchini. Click to expand... Akuna virugu.sisi watanzania tuko pamoja na Rais JPM kwa hali na mali.
S senzighe JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 2,108 Reaction score 1,666 Aug 4, 2020 #125 Meneja Wa Makampuni said: Tume ndiye Lefa wa mchezo, Click to expand... Refa siyo Lefa