Yes, uko sahihi kabisa. Ni kwa sababu anasubiri mbeleko ya tume yake. That's all.Lissu ni mwepesi mno! Alafu usije unafikiri Magu anahofu na huu uchaguzi? Hana ata chembe ya hofu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, uko sahihi kabisa. Ni kwa sababu anasubiri mbeleko ya tume yake. That's all.Lissu ni mwepesi mno! Alafu usije unafikiri Magu anahofu na huu uchaguzi? Hana ata chembe ya hofu
Kwa nini huyo Slaa msingemuacha agombee basi urais huko kwenu ccm kama ni mzuri kihivyo. Acha unafiki.Mbona hamjiamini? Tatizo la upinzani kupeleka makapi yaliyo toka CCM, na watu wasio na maadili wasaliti wa nchi kama kina TL, kwa nini hamjifunzi? Watu wazuri kama kina Dr Slaa mkawatupa kapuni kisa tamaa ya pesa, sasa hivi mnajambajamba tu! Kuwapa nchi wapinzani bado saaaaaana!
Tume yetu ya sasa inatokana na Article 74 ya katiba yetu , Art74 (6)(a-e)Kazi ya kutafsiri na kusimamia sheria ni ya mahakama na vyombo vingine vilivyowekwa kisheria. Jukumu la kusimamia sheria ya Uchaguzi ni ya NEC. NEC itaendelea kutimiza jukumu hili mpaka pale sheria itakapo badilishwa au kutafsiriwa vinginevyo.
halafu siku nyingine ndugu usichanganye mambo- kutafsiri na kusimamia ni vitu viwili tofauti...Kazi ya kutafsiri na kusimamia sheria ni ya mahakama na vyombo vingine vilivyowekwa kisheria. Jukumu la kusimamia sheria ya Uchaguzi ni ya NEC. NEC itaendelea kutimiza jukumu hili mpaka pale sheria itakapo badilishwa au kutafsiriwa vinginevyo.
Najua NEC hawana mpango huo, lakini kwa comment kama hizi natamani wamuondoe ili tuone hayo machafukoHawa NEC watambue kuwa kitendo cha kumwuengua Tundu Lissu kwa hicho wanachokiita Technicalities, kitaleta machafuko makubwa hapa nchini.
Kwa hiyo tunawatahadharisha wasithubutu kufanya kitendo hicho kwa maelekezo ya watawala wetu wa CCM
Umejibu haraka pasipo umakini wa kuelewa nilichokiandika. Umekimbilia kuonyesha unajua vifungu vya sheria. Ungetulia ungegundua kutafsiri na usimamizi wa sheria unafanywa na vyombo tofauti, rudia kusoma. NEC ni wasimamizi wa sheria za uchaguzi, huzitaki ni kazi ya bunge kuzibadili.Tume yetu ya sasa inatokana na Article 74 ya katiba yetu , Art74 (6)(a-e)
kazi za tume zimesemwa hapa:
Hakuna hata kipengere kimoja kinachosema kwamba watatafsiri sheria...
- The overall supervision and conduct of Presidential and Parliamentary elections in the United Republic of Tanzania and local government elections in Tanzania Mainland;
- Provide voter education;
- Coordinate and supervise persons offering voter education; and
- Make regulations and guidelines that facilitate the effective operationalization of the day-to-day conduct of electoral duties.
Mahakama inapata nguvu zake hapa katika Art. 107A katiba yetu...
Katiba inapatiukana hapa: https://rsf.org/sites/default/files/constitution.pdf
TUJITEGEMEE, fanya ambacho kina kufaa wewe kama wewe. Mataifa ya nje yana ajenda zao sisi watanzania tuna ajenda zetu. Hivyo, si hekima wala busara kuwaza ajenda za mataifa ya nje bila kusimamia ajenda zetu kidete zitakazotuvusha katika kuelekea Taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi na kijamii duniani.Mataifa ya nje sijui yanaionaje nchi yetu na democrasia ya kuengua watu.
ni wasimamizi ndio.. sasa swali langu kwako.. ni wapi katiba imewapa mamlaka ya kutafsiri sheri? hwbu nisaidie ndugu.. labda kama unasema kusimamia maana yake pia ni kutafsiriUmejibu haraka pasipo umakini wa kuelewa nilichokiandika. Umekimbilia kuonyesha unajua vifungu vya sheria. Ungetulia ungegundua kutafsiri na usimamizi wa sheria unafanywa na vyombo tofauti, rudia kusoma. NEC ni wasimamizi wa sheria za uchaguzi, huzitaki ni kazi ya bunge kuzibadili.
TUJITEGEMEE, fanya ambacho kina kufaa wewe kama wewe. Mataifa ya nje yana ajenda zao sisi watanzania tuna ajenda zetu. Hivyo, si hekima wala busara kuwaza ajenda za mataifa ya nje bila kusimamia ajenda zetu kidete zitakazotuvusha katika kuelekea Taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi na kijamii duniani.
Haya ndiyo madhara ya kutokuwa na tume huru ya uchaguzi. Tangu lini NEC iamue hatima ya mgombea aliyepitishwa na vikao halali vya vyama? Hiki ndicho kitaanzisha vurugu kubwa sana katika nchi.Kauli iliyotolewa jana na Jaji Kaijage ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kuvitaka vyama kuteua Wagombea makini ili baadaye Tume isilaumiwe siyo ya bahati mbaya.
Taarifa za uhakika nilizopata toka ndani ya NEC ni kuwaengua Lissu na Membe kwa technicalities. CHADEMA NA ACT Wazalendo waangalie hizo technicalities mapema wajiandae kisaikolojia.
Uongozi wa juu uliopo hautaki kabisa kampeni hasa kwenye nafasi ya juu ya uongozi. Wangependa kubaki na akina shibuda na lipumba ili kampeni zisiwe na msisimko.
Lissu ana hoja ya maadili ya kuvuliwa ubunge, Nyalandu na Membe wana hoja za kufukuzwa uanachama wa chama chao. Wanasheria wanahaha kutafsiri hoja hizo katika misingi ya kikatiba ili kuwaengua ulingoni na malaika mkuu apite kimya.
Tahadhari kubwa ifanyike na sauti zipazwe.
Haya. Giza linatinga katika taifa hili.Kauli iliyotolewa jana na Jaji Kaijage ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kuvitaka vyama kuteua Wagombea makini ili baadaye Tume isilaumiwe siyo ya bahati mbaya.
Taarifa za uhakika nilizopata toka ndani ya NEC ni kuwaengua Lissu na Membe kwa technicalities. CHADEMA NA ACT Wazalendo waangalie hizo technicalities mapema wajiandae kisaikolojia.
Uongozi wa juu uliopo hautaki kabisa kampeni hasa kwenye nafasi ya juu ya uongozi. Wangependa kubaki na akina shibuda na lipumba ili kampeni zisiwe na msisimko.
Lissu ana hoja ya maadili ya kuvuliwa ubunge, Nyalandu na Membe wana hoja za kufukuzwa uanachama wa chama chao. Wanasheria wanahaha kutafsiri hoja hizo katika misingi ya kikatiba ili kuwaengua ulingoni na malaika mkuu apite kimya.
Tahadhari kubwa ifanyike na sauti zipazwe.
Labda nikuulize wewe kwanini wewe unadhani NEC inatafsiri sheria?, sababu mahakama inatafsiri sheria pale mtu au kikundi cha watu kinapotaka ufafanuzi inapohisiwa kutotendewa haki na mtu au vyombo vya usimamizi wa sheria.ni wasimamizi ndio.. sasa swali langu kwako.. ni wapi katiba imewapa mamlaka ya kutafsiri sheri? hwbu nisaidie ndugu.. labda kama unasema kusimamia maana yake pia ni kutafsiri
Labda nikuulize wewe kwanini wewe unadhani NEC inatafsiri sheria?, sababu mahakama inatafsiri sheria pale mtu au kikundi cha watu kinapotaka ufafanuzi inapohisiwa kutotendewa haki na mtu au vyombo vya usimamizi wa sheria.
Hoja gani hizi mnaleta za kijendawazimu? Mnataka kuaminisha watu kwamba kuna watu maalum ndio wenye haki na uwezo wa kuwa maraisi peke yao? Msitupotezee muda kwa kuweweseka kwenu!Uraisi siyo ubunge. One mistake you perish. Watu kama Nyalandu na Lisu hawawezi kuvaa viatu vya Uraisi hata wakipata kura 100%
Hawana sifa kuu zifuatazo
1. Uzalendo (wanajiuza kwa maadui wa nchi mfano MIGA etc)
2. Misimamo ( wepesi kununulika na kuhamishwa )
3. Wasaliti wa maadili na mila za mtanzania (mfano Ushoga)
4. Hawana economic plan zaidi ya kujaza watu huruma
5. Record zao ni mbaya.
Hakuna aliyesema NEC ina tafsiri sheria ni perception yako ktk jibu langu la msingi ambalo najua hukujikita ktk mantiki. Kuelimisha ni mmoja ya wajibu wake kisheria na ndicho inafanya, kuwakumbusha wadau kufanya yanayotakiwa.Swali hujibiwa kwa jibu sio kwa swali ndugu.. jibu kwanza halafu na mimi nikujibu...anyway, sina haja ya malumbano na ligi zisizo na msingi...jua tu kwamba sheria ninai-practice kwa zaidi ya miaka 20 na zaidi sasa na katika mataifa ya dunia ya kwanza huko tunakotoa sheria zetu... na kabla ya hapo Tanzania,m ukielewa kwamba check and balances zipo, huwezi kuja hapa ukasema kwam NEC wanahusika na kutafsiri sheria... sipingi katika usimamizi wa sheria hizo, elewa tu kwamba powers za NEC ziko limited na kipengere kilichoianzisha yaana Art 74 ya katika yetu na mapungufu yake...
nikosoe kwa vifungu ndugu sio maneno matupu bila vifungu... ushabiki pembeni- Tanzania kwanza , sote tu familia moja maono na mitazamo tofauti...kupingana, kuelimishana na yote sawa bila mkwaruzo wala mihemko ya vyama au itikadi...
sawa ndugu... asante kwa jibu lako ... ubarikiweHakuna aliyesema NEC ina tafsiri sheria ni perception yako ktk jibu langu la msingi ambalo najua hukujikita ktk mantiki. Kuelimisha ni mmoja ya wajibu wake kisheria na ndicho inafanya, kuwakumbusha wadau kufanya yanayotakiwa.
LISSU ametabiri mengi yametimia sasa kwa nn tusimwite nabii??Mkuu tusiwe kama wao
Lissu tusimfananishe na nabii