Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Mkuu tusiwe kama waoHatutaki rais asiye na akili timamu ndio maana tunamtaka nabii Tundu Lissu sio huyo mharibu nchi
Lissu tusimfananishe na nabii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tusiwe kama waoHatutaki rais asiye na akili timamu ndio maana tunamtaka nabii Tundu Lissu sio huyo mharibu nchi
Hivi akietaka uchaguzi uhailishwe alikuwa Nani? Na Mh Raid ndiyo alisema kipindi Korona amebamba Tanzania kuwa uchaguzi lazima ufanyike na Chadema ndiyo hamkutaka uchaguzi ufanyike
Hili liko wazi na halina ubishi, kweli nchi hii tumefikia vibaya sana sana.Uongozi wa juu uliopo hautaki kabisa kampeni hasa kwenye nafasi ya juu ya uongozi. Wangependa kubaki na akina shibuda na lipumba ili kampeni zisiwe na msisimko.
Sawa , lakini je kazi ya kutafsiri sheria hizo kikatiba ni ya nani ? Tume au mahakama ?Hakuna haja yakurisha watu. Uchaguzi ni mchakato wa kisheria na kanuni. Ukikiuka sheria zinakuondoa tu, wala si Tume. Vyama inapaswa kufuata sheria na kanuni sio hisia.
Jamaa hapo kaongea ujinga, achana nae tu.Tupe sifa za Mafgufuli Kikwete,Mkapa ilo tuweze kulinganisha
Lissu ni mwepesi mno! Alafu usije unafikiri Magu anahofu na huu uchaguzi? Hana ata chembe ya hofuMagufuli tunafaham tangu akiwa mbunge anataka apite bila kupingwa, lakini awamu hii hata akipita apite lakini dunia nzima itafaham amepitaje na inawezekana ikawa ndio mwisho wa ccm. Tundulisu msifikiri ni kondoo kama LOWASA.
Mbona hamjiamini? Tatizo la upinzani kupeleka makapi yaliyo toka CCM, na watu wasio na maadili wasaliti wa nchi kama kina TL, kwa nini hamjifunzi? Watu wazuri kama kina Dr Slaa mkawatupa kapuni kisa tamaa ya pesa, sasa hivi mnajambajamba tu! Kuwapa nchi wapinzani bado saaaaaana!Kauli iliyotolewa jana na Jaji Kaijage ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kuvitaka vyama kuteua Wagombea makini ili baadaye Tume isilaumiwe siyo ya bahati mbaya.
Taarifa za uhakika nilizopata toka ndani ya NEC ni kuwaengua Lissu na Membe kwa technicalities. CHADEMA NA ACT Wazalendo waangalie hizo technicalities mapema wajiandae kisaikolojia.
Uongozi wa juu uliopo hautaki kabisa kampeni hasa kwenye nafasi ya juu ya uongozi. Wangependa kubaki na akina shibuda na lipumba ili kampeni zisiwe na msisimko.
Lissu ana hoja ya maadili ya kuvuliwa ubunge, Nyalandu na Membe wana hoja za kufukuzwa uanachama wa chama chao. Wanasheria wanahaha kutafsiri hoja hizo katika misingi ya kikatiba ili kuwaengua ulingoni na malaika mkuu apite kimya.
Tahadhari kubwa ifanyike na sauti zipazwe.
Njaa Mbaya Sana,hasa inapoanzia kwenye ubongo.CCM wanadhani wana hati miliki ya Tanzania, wameweka refa wao,washika vibendera,kamisaa na bado wanatamani kupanga lineups za timu upinzani?Wajumbe Wa tume ya taifa ya uchaguzi wote Ni wanaccm, wajiondoe Mara moja
Asante kwa taarifa muhimu 'but there is no short cut in life'Kauli iliyotolewa jana na Jaji Kaijage ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kuvitaka vyama kuteua Wagombea makini ili baadaye Tume isilaumiwe siyo ya bahati mbaya.
Taarifa za uhakika nilizopata toka ndani ya NEC ni kuwaengua Lissu na Membe kwa technicalities. CHADEMA NA ACT Wazalendo waangalie hizo technicalities mapema wajiandae kisaikolojia.
Uongozi wa juu uliopo hautaki kabisa kampeni hasa kwenye nafasi ya juu ya uongozi. Wangependa kubaki na akina shibuda na lipumba ili kampeni zisiwe na msisimko.
Lissu ana hoja ya maadili ya kuvuliwa ubunge, Nyalandu na Membe wana hoja za kufukuzwa uanachama wa chama chao. Wanasheria wanahaha kutafsiri hoja hizo katika misingi ya kikatiba ili kuwaengua ulingoni na malaika mkuu apite kimya.
Tahadhari kubwa ifanyike na sauti zipazwe.
Unazungumzia shetani yupi? TL ndiye ambaye hataki wananchi wa TZ wapate maendeleo, au mzee Membe aliyekula kodi za Walibya.Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Kuvunja katiba ni kosa, lakini mbona mmempitisha wakati kila siku anavunja sheria?Watu kama nyie ndio mtaji wa akina Mbowe pale chadema!
Kuna hoja katika hii mada! Lakini yakitokea utasikia mmeonewa
Tanzania tuna shida ya siasa za ushabiki. Yanga ikiifunga Simba kesho maisha hayabadiliki lakini tukipata viongozi wabovu wasiojali maisha yetu,tutapata shida na hata kupoteza maisha..Tuwe makini. Tumepanda tulichovuna miaka hii 5...Ni miaka 5 mingine Mwenyenzi Mungu katupa fursa ya kuchagua tutakachovuna...HayeniUraisi siyo ubunge. One mistake you perish. Watu kama Nyalandu na Lisu hawawezi kuvaa viatu vya Uraisi hata wakipata kura 100%
Hawana sifa kuu zifuatazo
1. Uzalendo (wanajiuza kwa maadui wa nchi mfano MIGA etc)
2. Misimamo ( wepesi kununulika na kuhamishwa )
3. Wasaliti wa maadili na mila za mtanzania (mfano Ushoga)
4. Hawana economic plan zaidi ya kujaza watu huruma
5. Record zao ni mbaya.
Jamani heeee hawa kina Jdg Kaijage, Jdg Mtungi & Co watatuletea baraa nchi hii.Tuko tayari kuingia barabara ni kama mkoloni CCM anataka kutuchagulia mgombea Urais.
Kazi ya kutafsiri na kusimamia sheria ni ya mahakama na vyombo vingine vilivyowekwa kisheria. Jukumu la kusimamia sheria ya Uchaguzi ni ya NEC. NEC itaendelea kutimiza jukumu hili mpaka pale sheria itakapo badilishwa au kutafsiriwa vinginevyo.Sawa , lakini je kazi ya kutafsiri sheria hizo kikatiba ni ya nani ? Tume au mahakama ?
Hawana sifa kuu zifuatazo
1. Uzalendo (wanajiuza kwa maadui wa nchi mfano MIGA etc)
Tupo au Upo?????Tuko tayari kuingia barabara ni kama mkoloni CCM anataka kutuchagulia mgombea Urais.