Dawa ni kuwasomea Albadiri majaji wote wanaonyesha kuleta uonevu kwenye kesi ya mbowekama sikosea huyo ni jaji wa tatu kwenye hii kesi.... na kila Jaji akija malalamiko ni yaleyale... sasa muafaka ni nini?.....wafuasi wetu uelekeo upi wafuate..., tunaendeleaje kufuatilia kesi na kusubiri matokeo yake ilihali tunaamini jaji yupo kimkakati.... Je tutasemaje mwishoni jaji huyu akimuachia mtu wetu?...
Inawezekana mkuuShahidi atapewaje majibu na mtu mwingine akiwa kizambani halafu asionekane? Huyo Jaji ni mchawi ni nini? Anaona visivyoonekana!!
Ridiculous !.Toka tumboni mwa mama yake and he thought he will get away with it but uovu una mwisho hapa duniani kabla ya hukumu ya haki mbele ya Mungu wake.
FactKuna muda jaji anajisahau anahisi kama nae ni mwanasheria wa serikali ivo anataka kuweka pingamizi
hata mimi nahisi hivyo hakutegema alivyo smatKuna uwezekano jaji aliingiza utani kwa jinsi mshitakiwa anavyo jieleza tofauti na mashahidi upande wa mashtaka wanavyo jikanganya kwenye maelezo yao.
Jaji yupo kazini kuhakikisha mission inafanikiwaKuna muda jaji anajisahau anahisi kama nae ni mwanasheria wa serikali ivo anataka kuweka pingamizi
If you have lost the truck, then you are off the track.Hivi ni barua gan please, I have lost the truck
Now I am on boardIf you have lost the truck, then you are off the track.
Kwanini shahidi afundishwe majibu?huu ndio ushamba wa kina Kibatala
Kachanganyikiwa kabisa yaani!Nikwenda nae hivyo hivyo ili azidi kujianika mwenyewe. Mpaka hapa alipofikia kashaonyesha kuwa upande wa Jamhuri huwa wanakaa pamoja na Mahakama kupanga namna ya kuliendesha shauri lililoko Mahakamani.
Yaani walishazoea kuwakaririsha mashahidi wao sasa wa upande wa Utetezi Jamaa katokea gerezani lkn katoa mtiririko wa ukweli bila Chenga. Jaji ataacha kuchanganyikiwa??
Naunga mkono hojaJaji asomewe Albadiri mapema laana zimwandane iwe fundisho kwa wapinda haki kama yeye
Huyu shahidi kwanza ametoa ushahidi wake kwa kustukizwa , yaani hakuwa ameandaliwa kabla baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuendelea na mashahidi kwenye kesi ndogo, ni maoni ya watu wengi kwamba maelezo anayotoa yana ukweli wa kiasi kikubwa.Mna visingizio sana tulieni dawa iwaingie maana mlitamba sana mama anaupiga mwingi.
Mkome kabisa tabia ya kuingilia mahakama.
Vp aliyekupakata ameshakumwagia dawa?Mna visingizio sana tulieni dawa iwaingie maana mlitamba sana mama anaupiga mwingi.
Mkome kabisa tabia ya kuingilia mahakama.
Ingia Twitter page ya Martin MM... Wakili Matata ametisha kinomaa kwa jinsi anavyopangua hoja, ni balaa huyu jamaa...Jamani leo nimetafuta mtililiko wa yariyojili sipati tafadhari msaada
Alaaaaaa!Ingia Twitter page ya Martin MM... Wakili Matata ametisha kinomaa kwa jinsi anavyopangua hoja, ni balaa huyu jamaa...