Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kauli ya kwanza ya Kada wa CHADEMA George Sanga baada ya kuachiwa huru na Mahakama.
Hii inakuja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Iringa alipotangaza kuachia huru wanachama watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akiwemo aliyekuwa Katibu wa Jimbo George Sanga na wenzake Gudluck Mfuse na Octatus Mkwela kutokana na kutokutwa na hatia ya kuhusika na mauaji ya kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Emmanuel Mlelewa.
Soma Pia:

- Mahakama Kuu yamwachia huru George Sanga na Wenzake wawili, Kada wa CHADEMA walishikiliwa kwa miaka 5 gerezani kwa tuhuma za mauaji
- Kesi ya Mauaji ya George Sanga na wenzake yafutwa, waachiwa huru na kukamatwa tena