Kauli ya kwanza ya Kada wa CHADEMA George Sanga baada ya kuachiwa huru na Mahakama.
Hii inakuja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Iringa alipotangaza kuachia huru wanachama watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akiwemo aliyekuwa Katibu wa Jimbo George Sanga na wenzake Gudluck Mfuse na Octatus Mkwela kutokana na kutokutwa na hatia ya kuhusika na mauaji ya kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Emmanuel Mlelewa.

Kwanza kabla ya yote, huyo George Sanga aulizwe: anamuunga mkono tapeli a.k.a Nkurunzinza wa Machame ama anamuunga mkono mwanamabadiliko a.k.a ukweli na uwazi?

Kwahiyo apewe A,B,Cs kabla hajatoa jibu. Aambiwekabisa kuwa, Mbowe aliyekuwa anamjua alikuwa wa bandia, Mbowe halisi amejulikana baada ya Lisu kuchukua fomu ya kugombea umwenyekiti