Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nimemsikia Tundu Lissu katika mahojiano yake na moja ya chombo cha habari akidai kwamba haki ya kuchagua katika katiba iliyo ibara ya 5 sio haki ya kikatiba na haiwezi kudaiwa mahakamani kwa sababu haijawekwa kati ya ibara ya 12 hadi 30 ya katiba!
Hakufafanua zaidi ina maana gani haki kuwepo katika katiba halafu isiwe haki ya kikatiba inayoweza kudaiwa mahakamani. Anasema mtu huwezi kwenda mahakamani kudai umenyimwa haki ya kuandikishwa kupiga kura!
Wataalamu wa sheria, inamaanisha nini Tundu Lissu anaposema haki za kikatiba zipo kuanzia ibara ya 12 hadi 30?