Kwamba hili nalo ni la kubishania? Wewe ukinyimwa kujiandikisha sheria gani inakuruhusu kwenda kushitaki serikali?Nimemsikia Tundu Lissu katika mahojiano yake na moja ya chombo cha habari akidai kwamba haki ya kuchagua katika katiba iliyo ibara ya 5 sio haki ya kikatiba na haiwezi kudaiwa mahakamani kwa sababu haijawekwa kati ya ibara ya 12 hadi 30 ya katiba!
Hakufafanua zaidi ina maana gani haki kuwepo katika katiba halafu isiwe haki ya kikatiba inayoweza kudaiwa mahakamani. Anasema mtu huwezi kwenda mahakamani kudai umenyimwa haki ya kuandikishwa kupiga kura!
Wataalamu wa sheria, inamaanisha nini Tundu Lissu anaposema haki za kikatiba zipo kuanzia ibara ya 12 hadi 30?
Mbona nawe hujaitolea ufafanuzi umejibu juu juu tu?Sheria ya haki ya kuchagua
😂😂😂Mbona nawe hujaitolea ufafanuzi umejibu juu juu tu?
Umeona ilivyo ngumu kujibu in details?
Nawewe ungetaka mwenzako ajibu hivi basi ungemuomba mwandishi amuulize kama mimi nilivyofanya kwako.
Ni haki ya kikatiba provided vigezo na masharti mengine ya Katiba yamezingatiwa. Kwa mfano, Ibara 5(1) lazima itumike sanjari na Ibara 5(2). Soma exceptions zilizobainishwa kwenye Ibara 5(2).Nimemsikia Tundu Lissu katika mahojiano yake na moja ya chombo cha habari akidai kwamba haki ya kuchagua katika katiba iliyo ibara ya 5 sio haki ya kikatiba na haiwezi kudaiwa mahakamani kwa sababu haijawekwa kati ya ibara ya 12 hadi 30 ya katiba!
Hakufafanua zaidi ina maana gani haki kuwepo katika katiba halafu isiwe haki ya kikatiba inayoweza kudaiwa mahakamani. Anasema mtu huwezi kwenda mahakamani kudai umenyimwa haki ya kuandikishwa kupiga kura!
Wataalamu wa sheria, inamaanisha nini Tundu Lissu anaposema haki za kikatiba zipo kuanzia ibara ya 12 hadi 30?
Kama mtu amenyimwa haki ya kuandikishwa katika daftari la kupiga kura au kupiga kura kabisa anaweza kwenda mahakamani kudai hiyo haki??Ni haki ya kikatiba provided vigezo na masharti mengine ya Katiba yamezingatiwa. Kwa mfano, Ibara 5(1) lazima itumike sanjari na Ibara 5(2). Soma exceptions zilizobainishwa kwenye Ibara 5(2).
Ibara 5(2)
Anaweza, kama anakidhi masharti mengine yote! Mwenye ugonjwa wa akili au mwenye uraia wa nchi nyingine, kwa mfano, hakidhi vigezo; kwa hiyo, hawezi kuidai hiyo haki mahakamani.Kama mtu amenyimwa haki ya kuandikishwa au kupiga kura anaweza kwenda mahakamani kudai hiyo haki??
Nchi kama Brasil, Australia, Belgium, equador , Argentina na nyinginezo, kupiga kura ni jambo la haki na lazima kwa kila mmoja kwa mujibu wa sheria na katiba zao. Ikitokea uchaguzi umefanyika haafu kuna watu hawakupiga kura watu hao huchukiliwa hatua ikiwemo kupigwa faini.Nimemsikia Tundu Lissu katika mahojiano yake na moja ya chombo cha habari akidai kwamba haki ya kuchagua katika katiba iliyo ibara ya 5 sio haki ya kikatiba na haiwezi kudaiwa mahakamani kwa sababu haijawekwa kati ya ibara ya 12 hadi 30 ya katiba!
Hakufafanua zaidi ina maana gani haki kuwepo katika katiba halafu isiwe haki ya kikatiba inayoweza kudaiwa mahakamani. Anasema mtu huwezi kwenda mahakamani kudai umenyimwa haki ya kuandikishwa kupiga kura!
Wataalamu wa sheria, inamaanisha nini Tundu Lissu anaposema haki za kikatiba zipo kuanzia ibara ya 12 hadi 30?
Unachanganya right (haki) na obligation (wajibu). You do not get punished for not exercising your right, lakini unaweza kuadhibiwa kwa kutotimiza wajibu wako!Nchi kama Brasil, Australia, Belgium, equador , Argentina na nyinginezo, kupiga kura ni jambo la haki na lazima kwa kila mmoja kwa mujibu wa sheria na katiba zao. Ikitokea uchaguzi umefanyika haafu kuna watu hawakupiga kura watu hao huchukiliwa hatua ikiwemo kupigwa faini.
Tanzania uchaguzi ndiyo haki kikatiba lakini kupiga kura ni maamuzi ya mtu
Tundu lissu hapigi kura bongo wala hajajiandikisha!Nimemsikia Tundu Lissu katika mahojiano yake na moja ya chombo cha habari akidai kwamba haki ya kuchagua katika katiba iliyo ibara ya 5 sio haki ya kikatiba na haiwezi kudaiwa mahakamani kwa sababu haijawekwa kati ya ibara ya 12 hadi 30 ya katiba!
Hakufafanua zaidi ina maana gani haki kuwepo katika katiba halafu isiwe haki ya kikatiba inayoweza kudaiwa mahakamani. Anasema mtu huwezi kwenda mahakamani kudai umenyimwa haki ya kuandikishwa kupiga kura!
Wataalamu wa sheria, inamaanisha nini Tundu Lissu anaposema haki za kikatiba zipo kuanzia ibara ya 12 hadi 30?
Katiba ya Tanzania ina tabia ya kutoa haki kwa mkono mmoja na kuiondoa kwa mkono mwingine.Nimemsikia Tundu Lissu katika mahojiano yake na moja ya chombo cha habari akidai kwamba haki ya kuchagua katika katiba iliyo ibara ya 5 sio haki ya kikatiba na haiwezi kudaiwa mahakamani kwa sababu haijawekwa kati ya ibara ya 12 hadi 30 ya katiba!
Hakufafanua zaidi ina maana gani haki kuwepo katika katiba halafu isiwe haki ya kikatiba inayoweza kudaiwa mahakamani. Anasema mtu huwezi kwenda mahakamani kudai umenyimwa haki ya kuandikishwa kupiga kura!
Wataalamu wa sheria, inamaanisha nini Tundu Lissu anaposema haki za kikatiba zipo kuanzia ibara ya 12 hadi 30?
Wakili msomi Pascal Mayalla au Mr Katiba pitia hapa..Nimemsikia Tundu Lissu katika mahojiano yake na moja ya chombo cha habari akidai kwamba haki ya kuchagua katika katiba iliyo ibara ya 5 sio haki ya kikatiba na haiwezi kudaiwa mahakamani kwa sababu haijawekwa kati ya ibara ya 12 hadi 30 ya katiba!
Hakufafanua zaidi ina maana gani haki kuwepo katika katiba halafu isiwe haki ya kikatiba inayoweza kudaiwa mahakamani. Anasema mtu huwezi kwenda mahakamani kudai umenyimwa haki ya kuandikishwa kupiga kura!
Wataalamu wa sheria, inamaanisha nini Tundu Lissu anaposema haki za kikatiba zipo kuanzia ibara ya 12 hadi 30?
Ubelgiji!Anapiga kura wapi?
Sheria ni fani bahari, japo ki umri, TAL ni mdogo wangu, lakini kwenye fani, mimi ni very junior kwa TAL, ila kiukweli kwenye mambo ya kutafsiri vifungu vya katiba, TAL atasubiri!. He is not right at all!.Wakili msomi Pascal Mayalla au Mr Katiba pitia hapa..
Ha ha kwa hili umeingia ChakaSheria ni fani bahari, japo ki umri, TAL ni mdogo wangu, lakini kwenye fani, mimi ni very junior kwa TAL, ila kiukweli kwenye mambo ya kutafsiri vifungu vya katiba, TAL atasubiri!. He is not right at all!.
- Sio mara moja au mbili amewaingiza Chadema chaka!. Angalia hapa Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele! hapa alitakiwa kuusimamisha muswada kikanuni, yeye akatoa go ahead na kutoa kauli ya kuupinga. Muswada uka sail!.
- Kwenye udikiteta wa JPM, pia akawaingiza chaka
- Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!
- CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!.
- Hata issue ya hao wabunge 19,
P