Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Usiishi Kwa kukariri mbona warioba juzi hakubambikiwa kesiSoon watambambikia Kesi
Mahita ajiandae kisaikolojia
Wakati warioba alivyo vamiwa na makonda blue pearl wewe ulikuwa umesha fika Mjini !?Usiishi Kwa kukariri mbona warioba juzi hakubambikiwa kesi
Kwa hiyo Ile siku alimteka eti? Alifunguliwa kesi ganihuyo wariobaWakati warioba alivyo vamiwa na makonda blue pearl wewe ulikuwa umesha fika Mjini !?
Umetoa mfano wa warioba na Mimi nikakutolea mfano wa vitendo vya udhalilishwaji alivyo wahi kufanyiwa , Ulitaka mpaka niseme kwamba kafunguliwa Kesi !?Kwa hiyo Ile siku alimteka eti? Alifunguliwa kesi ganihuyo warioba
Zito takataka msimuamini. Huyu mdini.mkubwa mno kiasi kauli yake msiiamini"IGP Mstaafu, Omary Mahita kusema wanasiasa wanaingilia jeshi. Tumekuwa tukisema siku zote kwamba sasa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, mwananchi wa kawaida hawezi kuchora mstari kusema hapa ni Chama Tawala na hapa ni Polisi na Idara ya usalama.
"Yeye anaona vyote sawa. Hiyo ni hatari kubwa sana. Ni lazima ufanye raia aone kwamba jeshi la Polisi litatenda haki bila kujali mwananchi amebeba kadi ya chama gani cha siasa.
"Lazima ujenge mazingira ambayo Idara ya usalama wa Taifa itapeleka taarifa dhidi ya mwananchi za ukweli bila kujali kadi ya chama ambacho mwananchi anacho. Kwa sasa sivyo! - Zitto Zuberi Kabwe, Kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO
Soma: IGP Mstaafu Mahita: Jeshi la Polisi la Sasa linaingiliwa na Wanasiasa
Mahita anakaribishwa CHADEMA kuwa mkuu wa idara ya ulinzi na usalama."IGP Mstaafu, Omary Mahita kusema wanasiasa wanaingilia jeshi. Tumekuwa tukisema siku zote kwamba sasa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, mwananchi wa kawaida hawezi kuchora mstari kusema hapa ni Chama Tawala na hapa ni Polisi na Idara ya usalama.
"Yeye anaona vyote sawa. Hiyo ni hatari kubwa sana. Ni lazima ufanye raia aone kwamba jeshi la Polisi litatenda haki bila kujali mwananchi amebeba kadi ya chama gani cha siasa.
"Lazima ujenge mazingira ambayo Idara ya usalama wa Taifa itapeleka taarifa dhidi ya mwananchi za ukweli bila kujali kadi ya chama ambacho mwananchi anacho. Kwa sasa sivyo! - Zitto Zuberi Kabwe, Kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO
Soma: IGP Mstaafu Mahita: Jeshi la Polisi la Sasa linaingiliwa na Wanasiasa
Bungeni ni uozo mtupu, si kila siku mbunge wa chama chake Ado Shaibu anakalishwa chini kwa ajili ya hoja kama za Zito? Yaani hayo anayosema Zito ili yatekelezeke ni lazima ccm itoke madarakani. Na kwa hali ilivyo ili ccm itoke madarakani ni lazima damu imwagike.Jamaa nimemsikiliza,ana hoja nzuri Kwa namna anavyoelezea mwelekeo wa viongozi wa nchi yetu ukilinganisha na nchi nyingine aisee arudi TU bungeni,
Bungeni ni uozo mtupu, si kila siku mbunge wa chama chake Ado Shaibu anakalishwa chini kwa ajili ya hoja kama za Zito? Yaani hayo anayosema Zito ili yatekelezeke ni lazima ccm itoke madarakani. Na kwa hali ilivyo ili ccm itoke madarakani ni lazima damu imwagike.