Nipo mahali nimejichimbia nasikia zakunyapia nyapia kauli aliyo itowa mh Makonda ikiwa itatekelezwa itaibua mgogoro mkubwa wakikakatiba jambo litaisumbuwa serikal na hasa ukizingatia mh Makonda yeye sii sehem ya bunge wala sio msemaji wa Bunge.
Pili mwenye Mamlaka na wabunge sio Serikal kuu bali ni bunge na bunge ni muhimili usio na mahusiano na serikali kuu. Hivyo mwenye Mamlaka ni spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tz.
Tatu raia yeyote wa Tanzania anahaki yakuishi mkoa wowote ilimradi hajavunja sheria yeyote. Raia wa Tanzania anahaki ya kuzaliwa na kuishi ktk eneo lolote la jamuhuri ya muungano hivyo ikiwa kauli ya mh makaonda itafanyiwa kazi kutaibuka jambo lingine linalo weza leta hatari kwa usalama wa nchi.
Nne inasemekana kuwa kuna kitu nyuma ya kauli hata hivyo vyama vya upinzani wna akili sana ndio maana dakika chache baada ya mh makonda kutoa tamko zito alimjibu tena kwa kejeli! Unajuwa Kwanini? Just subiri saa 24 zitapita na hakuna kitakacho tekelezwa.
Tano Rais anaenda kuvunja bunge this people out smart spika na Rais kwa kutokuwepo ktk kuvunja bunge kama walivyo fanya kwenye uzinduz. Ila wametumia njia no body atajuwa nia ya ndani. Na kikatiba wako sawa.
Kiufupi wenye akili wamesha tathmin nakumpa ushauri mwenye taifa akiacha haya akisema haya japo nasikia hatosema wala ahakuna atakaye jibu chochote na huwo ndio mwisho wa picha.
Asante ni tetesi lakini toka huku shimoni.
Update.
Nadhani mmesikia kauli ya spika muda mchache baada ya hii tetesi. Wameshatenguwa kitendawili kimoja sasa bado cha 24 Spika hajasema atawakamata tusubiri..